Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Acha upumbavu ww M BET wanalipa mabilion kukaa pale kifuani tu ila Mo 400miion alafu kaweka matangazo mpaka matakoni!NBC wanatoa bei gani kudhamini ligi kuu yenye timu 16? Ni mwendawazimu pekee anaeweza kubeza udhamini wa millioni 400 kutoka AOne products.
Wanachama wote wa simba kwa mwaka wanalipia kadi jumla million 36.
Unakuta anaebeza huu udhamini hana hata uwezo wa kupata milo mitatu iliyokamilika!! Nchi yetu ina watu mapooza wengi sana,mmojawapo ni uyu mleta uzi.
Simba ni brand kubwa , anachkitoa Mo ni kidogo sana kulingana na brand ya simba