Mabango yote kwenye jezi Mo analipa mil 400

Mo anatoa pesa nyingi sana kwa timu yetu ya Simba ambazo ziko nje ya kwenye mkataba
 
Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.

Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unaona ndogo sio? Unadhani kujaza mabango ndio kufanya biashara? Kama ni rahisi hivyo nawe peleka.
 
Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.

Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bwana taabu kwelikweli. Wewe unachotaka ni nini? Timu inasajili wachezaji, mishahara ya wachezaji inalipwa, timu haijawahi kushindwa kusafiri sababu ya kukosa nauli, timu inaingia makundi kila mwaka: Wewe unataka nini? Unadhani zaidi ya unazi, kuna faida yoyote ya maana anayoipata.
 
yupo kifuani (main) kwenye games za caf,
yupo maeneo mawili kwenye jezi zinazovaliwa ligi kuu.....

ndio iwe 400 mkuu? kukaa kifuani jezi za caf kaweka sh ngap?

Huko Caf timu inashiriki kwa gharama za nani? Umeshawai kutoa hela kulipia timu hata tiketi ya ndege ikashiriki Caf ?
 
wanazuia kusajili wanachama wapya halafu wanakumbatia hao wanaongoja wakati wa uchaguzi walipiwe kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…