Acha upumbavu ww M BET wanalipa mabilion kukaa pale kifuani tu ila Mo 400miion alafu kaweka matangazo mpaka matakoni!NBC wanatoa bei gani kudhamini ligi kuu yenye timu 16? Ni mwendawazimu pekee anaeweza kubeza udhamini wa millioni 400 kutoka AOne products.
Wanachama wote wa simba kwa mwaka wanalipia kadi jumla million 36.
Unakuta anaebeza huu udhamini hana hata uwezo wa kupata milo mitatu iliyokamilika!! Nchi yetu ina watu mapooza wengi sana,mmojawapo ni uyu mleta uzi.
Mzee Kilomoni anatosha.unashauri timu apewe nani?
Alitakiwa alipe kiasi gani na kufananisha na timu hani inayolipwa kiasi gani?Mhasibu wa Simba Mo Extra na Sabuni kwa yale matangazo kwenye jezi wanalipa mil 400.
Duh, Simba ina viongozi wa hovyo,wanaitumia timu kibiashara ndo maana hakuna mafanikio uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ndipo huwa mnapigwa,Huko Caf timu inashiriki kwa gharama za nani? Umeshawai kutoa hela kulipia timu hata tiketi ya ndege ikashiriki Caf ?
hapa ndipo huwa mnapigwa,
simba inakusanya bilion 12, haya niambie hizo 12 zinafanya kazi gani?.....