OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikifuatilia kuhusu mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba yetu mpya na sasa tumefikia kwenye hatua ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya kata,.Hapa ndipo napoomba msaada wenu kuhusu:
1.Muundo wa mabaraza haya upoje? kila kata ina idadi ya watu wangapi? na uwiano wa watu unaangalia nini? Jinsia? Itikadi za vyama? au ni nini?
2. Wajumbe wa mabaraza haya wanachaguliwa na nani?
3.Katika mchakato mzima wa kuunda katiba mpya, mabaraza haya yana role gani?(ni nini kazi yake)
4.chadema wanalalamikia utaratibu uliounda mabaraza haya huku wakitaka ufutwe na yaundwe upya, je chadema wanata yaundwe kwa kuzingatia nini ambacho awali kilikiukwa?
5.Chaguzi za wajumbe hawa zinasimamiwa na nani?(Tume ya uchaguzi??au wakuu wa wilaya au watu gani??)
Nawasilisha waheshimiwa nikitarajia msaada na majibu mazuri toka kwenu, wale waliozoea utani,jokes na kuropoka naomba waende likizo kidogo kwenye hili!!