Mimi ni mmoja kati ya wajumbe wa mabaraza ya katiba. Rejea tamko la m/kiti wa tume ya mabadiliko ya katiba,
"Tume ya Mabadiliko ya Katiba imesema vikao vya mabaraza ya Katiba ya Wilaya sasa vitaanza tarehe 12 Julai – 2 Septemba, 2013" na kwmba vitatumia siku 54
Mimi kama mjumbe sina taarifa yeyote na hata mtendaji wa kata naye kadai hana taarifa yeyote.
Swali ni je lengo la kutumia siku 54 litatimia?
Pili ni nini kinaendelea, je kuna maeneo vikao vimeanza?
Je, unataarifa gani juu ya hili?