Good kama siyo porojo za serikali za kiafrika hasa za kwetu hiziMabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023.
Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo.
Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria 600,000 mpaka 700,000 kwa siku kupitia barabara hiyo.
Hivi mleta mada unaelewa maana ya mabasi mia saba?Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023.
Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo.
Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria 600,000 mpaka 700,000 kwa siku kupitia barabara hiyo.
Pengine mtoa mada ana maanisha uwepo wa "bajaji" 750 zilizo maalumu zitakazo ruhusiwa kupita katika njia ya mabasi ya mwendokasi.Hivi mleta mada unaelewa maana ya mabasi mia saba?
Achen utani, hicho kitu hakipo hapa bongo.
Huenda mleta mada unamaanisha mabasi 75, kitu ambacho kiuhalisia kinawezekana lakini huenda nacho kisiwezekane kwa Dar.
Sababu yanafanya kazi, unadhani kubeba watu 300000 kwa siku ni kazi ndogoHaya ya Mbezi Kimara mpaka Gerezani yamechoka mbaya