Gemilang haijawahinkuuzwa Tanzania , sijui kwa nin watu hawapendi kujifunza ,
Sent
Shangaa na ww mkuu, hizo sauli na rungwe ni scania na chasis za kawaida ila body zake zimechongwa kama gemilang.
Gemilang original had sasa haijafika bongo, mbona marcopolo huwa zinakuja kamili iwaje gemilang waje kuassemble ava?
Sauli na rungwe hata ndani ni za kawaida sana, hazina mvuto wenyewe wa gemilang original
Jamaa unaonekana mtu wa vyuma sanaShida ya huyu mwamba itakua amekariri kuhusu scania yeye kitu kingine hajui mimi nimetumia scania 113 mpaka hizi r420 g460 nimetumia benz kuanzia power liner mpaka hizi actros benz ni best truck hivyo
Ndio kazi zetu mkuu tumeanzia kwenye ufundi tumekua makondakta mpaka sasa tunayasuku hayo mavyumaJamaa unaonekana mtu wa vyuma sana
DAR LUX ZIPO WAPI?Anayedharau Scania namuangalia na kucheka kwa kicheko cha Magu (ihiiiiiii). Scania za Abood zipo tangu 2004, mpaka leo zinapiga trip ndefu za Dar Mwanza na Dar Tunduma, zina namba AYL ama AXF. Zhongotng yenye namba CDD ishajichokea kabisa
Kuna watu wamekariri kila kitu cha Mchina kimezidiwa na MzunguWatu wengi humu wanajadili vitu bila kufuatilia, huyo sauli kitu kinachosababisha azipite bus za mchina ni hizo airbags (boosters).
Siku zote wakitoka dar had iringa sauli huwa anakimbizwa, kipande pekee anachowakalisha wachina ni kipande cha igawa had mbeya mjini ambapo barabara imejaa mashimo, yeye anafukia tu.
Ila kiuwezo kuanzia miliman had tambarare hawez kufikia nguvu ya cummins, ule ni umeme wazee. Gari za kichina tuziponde kwny durability ila sio speed na comfortability.
Hizi akili duuhHapa inajulikana wazi mchina yupo vizuri kwa interior na mbaya uko chini kwa chasis, kwahiyo solution ni kuchukua body ya mchina na kuifunga kwa full chasis ya scania, hapo gari itadumu na itapendwa na wateja
Huu ni ukweliHujui cummins vizur ww, mchina alipochemka ni kwny kushindwa kuweka booster. Gari za kichina kila siku za kwanza kumaliza kupanda kitonga, sehem pekee wanayokimbizwa na scania ni kwenye mashimo yaliyoanzia igawa had mbeya mjini
Good broEither hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani...
Ni kweli nakumbuka mie nilikuwa na Bus la Lupelo mwaka 2010 kwa rout ya Dar ~ Njombe lenye namba 335 BEDHapana 2010 tulikuwa namba B, namba A zilianza 2006 to 2007, Kama sikosei, pia elewa nyingi ya namba A zilikuwa transfered kutoka mamba za zamani hasa TZT na TZR
Sent
Tbl wana Mercedes Benz actros imefikisha mileage 1.5mMercedes Mzee ni shida nyingine hiyo kwanza inatembea tuu swala la matengenezo sio leo wala kesho sasa ukute kaweka Engine ya Actros humo si balaa hilo maana Actros inataka kubeba mzigo mkubwa harafu inabeba abiria hao wachache atabaki kusifiwa tuu...maana bodi ni ya Kenya ile sio merc au ya Scania kama nilivyosikia..
We jamaa muongo mwaka 2010 tulikuwa na gari namba BBCGari namba AY ni ya 2010
Umeona eeh. Yangu ni ya mwaka 2011 ni BZ..., inakuaje yeye awe na gari namba AY.. mwaka 2010?We jamaa muongo mwaka 2010 tulikuwa na gari namba BBC
nadhan uzi unajieleza, sio gari za mizigo ..tuna basi mchina vs mswedenNadhani umesema scania za sauli ambazo ni 95.. Ila ukisema scania yoyote hata 114 utakuwa umedanganya parefu mno... Maana nilikuwa natembea na bus klm 700 inakula lita 280 hadi 300 japo mashine mlimani unakuwa kama upo na gari ndogo tu
Zhongtong kuliwa na Scania ni suala la dereva kupangilia gear mlimani.
Tusidharau Zhongtong kupitiliza Huyo Scania akidharau hata sekunde kadhaa ataishia kusoma namba.
Scania atajivunia kupanda milima kwa low RPM, Zhongtong RPM itakuwa juu kidogo.
Mkuu uwe unafuatilia uzi kutoa awali , sababu ya kuuliza kuhusu Kilimanjaro ni hayo jamaa anasema hizi hua haziji kamili, ndio ndio nikauliza, Kilimanjaro yeye mbona hivyo vipande anavyonunua havipiti paleKilimanjaro hajawahi kuagiza gari mpya
Ooh, mkubwa keshasema wacha nichukue notesGemilang haijawahinkuuzwa Tanzania , sijui kwa nin watu hawapendi kujifunza,
Sent