Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Na boda-boda nazo ziondoke turudishiwe daladala kama BRT wameshindwa kazi.Kuna vitu inabidi vipongezwe.
RC Chalamila na Timu yake wakaze hivyo hivyo ,Mabasi yaende kupaki Magufuli ,ICD ziondoleww zipelekekwa KWALA.
Mimi nipo kwenye Makundi tofauti sogozi ,kwenye group moja la bodaboda kila siku Punda wanadondoka road kisa ajali za kukanywagwa na malori ,tukiyaondoa malori mjini na ICD kupelekwa KWALA tutaokoa familia nyingi sana.
Next is Machinga maana Afcon is around the cornerInasemekana Malori na ICD zot kuhamishiwa Kwala kama Magufuli alivyopanga na kujenga bandari kavu na kupeleka TReni kule.
#Magu- mtanikumbuka.
Basihaya DawascoSema kwa jinsi jiji la Dar lilivyo kubwa zingewekwa hata stendi zingine 4. Hiyo ya Magufuli, Mbagala, Bagamoyo road, Kigamboni na Gongo la Mboto
Andaa kwanza masoko ya bidhaa za kilimo na ondoa ukiritimba wa kufkia hayo masoko na sera za kukandamiza faida kwa wakulima ziondolewe. Pia rahisisha upatikanaji wa zana na pembejeo za kilimo. Hii wala haitahitaji vijana kuondolewa wataenda wenyewe shambani bila shuruti maana faida wataiona wenyewe.vijana wapelekwe kwenye kilimo.
Ma vyombo yakiwa mengi kazi haziendi...Kuna kila sababu Serikali kuanzisha Mamlaka ya usimamizi jiji la Dar es salaam na kuvunja Halmashauri zote zilizopo mkoa wa Dar es salaam. Kinatakiwa chombo kimoja kwa Dar es salaam nzima
Siku hii ikitokea nitaruka kwa shangweNa boda nazo ziondoke turudishiwe daldala kama BRT wameshindwa kazi.
Mbagala si kuna kipindi magari yote yanayokwenda nje ya Dsm yalihamishiwa Mwandege, haikuchukua muda wakarudi Mbagala. Kistand chenyewe cha Mbagala ni cha kupishana ubavu kwa ubavu.Sema kwa jinsi jiji la Dar lilivyo kubwa zingewekwa hata stendi zingine 4. Hiyo ya Magufuli, Mbagala, Bagamoyo road, Kigamboni na Gongo la Mboto