Nyerere alituroga sio bure na kabla ya kutuagua akafa yeye kule St. Thomas HospitalAcha wajipigie mihela ya Bure, Watanzania wanapambana kununua jezi ili wahudhurie Simba na Yanga Day
Duh ! kazi kweli kweli - Job True TrueAcha wajipigie mihela ya Bure, Watanzania wanapambana kununua jezi ili wahudhurie Simba na Yanga Day
Alituroga yule mzee aliezama kule shimoni bagamoyo, alivoibuka tu akasema mwenge uwepo afu akadanjaNyerere alituroga sio bure na kabla ya kutuagua akafa yeye kule St. Thomas Hospital
Alishatoa uhuru wa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.Sa100 anailawiti nchi kwa madildo na vidole yaani sikioni anachokifanya zaidi naona kila mmoja ameachwa ajipimie size yake ya kushiba akwarue.
Hiyo ni laana nyingineHio rangi sasa 🤢
Kwa power na charismatic alivyokuwa angetuamsha kimapambano leo tungedai kila dhuluma kwa nguvu.Nyerere alituroga sio bure na kabla ya kutuagua akafa yeye kule St. Thomas Hospital
Shida yenu nyie ni mawazo ovu kwani nani alikuambia kwenye vifaa au mitambo huwa haina dosari?
Bora waende huko Simba na Yanga kuliko kwenda kumsikiliza huyo aliyekuwa mgombea mwenza wa Tundu Lissu, Salum Mwalimu.Acha wajipigie mihela ya Bure, Watanzania wanapambana kununua jezi ili wahudhurie Simba na Yanga Day Waonekane kwenye AZAM TV
Nyerere hakuroga mtu, ila ali create mfumo ambao kwa wakati ule ulifanya kaziNyerere alituroga sio bure na kabla ya kutuagua akafa yeye kule St. Thomas Hospital
Sijui wamewaza nn kutuletea usafiri wenye hio mirangi. Binafsi nna allergy na hio rangiHiyo ni laana nyingine
Nimeona mikutano ya Mgombea wa CCM mijitu imechoka imevarishwa matisheti ya kijani masuaruali yamechoka , viatu vimejaa vumbi yanamshangilia mtu anayewanyonya fedha zao na kulindwa na mabunduki.Kwa power na charismatic alivyokuwa angetuamsha kimapambano leo tungedai kila dhuluma kwa nguvu.
Kinyume akatuachia utii, ubwege na upumbavu.
Tunaibiwa na tunajua tunaibiwa ila tunafurahia kuibiwa. Na mkosoaji tunashirikiana na waporaji kumuua.
Only in Tanganyika.