Mabasi mapya ya mwendokasi kuingia

Mshobaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
1,714
Reaction score
677
Ama kweli usiku wa deni haukawii kucha. Mnamo tarehe 2 January 2025 tuliambiwa mwezi Machi mabasi mapya ya mwendokasi yangewasili na kumaliza adha ya usafiri kwa njia za dart. Je huwa tunadanganywa na hawa viongozi tuliowateua hadi lini? Nini suluhu ya utatuzi wa kero ya usafiri wa mwendokasi?

 
pongezi kwa mama samia
 
Wanasubiri kampeni zianze...sasa mtasahau na kuyqzoeaaa kabla ya kipyengaaaa
 
WELL, nafikiri tuwape muda kwa maana mwezi huu MARCH bado mbichi ndio kwanza tarehe 6 leo
 
Hii karaa inasumbua watu sana mategemeo na uhalisia tofauti shenzi kabisa.
 
Bongo nyoso tambarare tu, tupo busy kuratibu wizi wa kura maporini huku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…