Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,714
- 677
Ama kweli usiku wa deni haukawii kucha. Mnamo tarehe 2 January 2025 tuliambiwa mwezi Machi mabasi mapya ya mwendokasi yangewasili na kumaliza adha ya usafiri kwa njia za dart. Je huwa tunadanganywa na hawa viongozi tuliowateua hadi lini? Nini suluhu ya utatuzi wa kero ya usafiri wa mwendokasi?