Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huenda tayari wahusika wa hilo gari walipigwa pini kwamba wasitoe ushirikiano wowote.Namba EE... Haikosi asee..
Hatuna Rais ndugu yangu, umeshawahi kusikia akitoa kauli yoyote ya KUKEMEA AU KUTOKOMEZA UDHALIMU huo? Samia na kijana wake Abdul ndio wafadhili wa hayo MAGENGE ya UTEKAJI NA MAUAJI. NI HUZUNIZiwepo au zisiwepo haisaidii kitu.
Ni nani mwenye silaha za kivita na ana mamlaka ya kusimamisha basi la abiria kisha kumchukua mtu ?
Jibu ni serikali ndiyo muuaji.
Wengi hawaelewi hili, ni jambo la kiroho zaidi.Kutawaliwa na mwanamke ni laana.
Tashrif wako kiswahili sanaMwenye ufahamu juu ya hili la ccvt camera kwenye mabasi ya Tashriff atujuze. Italeta mwanga kama zilikuwepo zikazimwa au hazipo kabisa.
nadhani uchunguzi uanzie kwa mtoa taarifa ile na taasisi yake kuna kitu kwenye uchaguzi wao unaoendelea picha kamili itaonekana kuanzia tu pale 🐒Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.
Subira yavuta heri.
Kwa taarifa yako tayari basi husika wameshapewa onyo kutokukubali kuwa huyo abiria alikuwa kwenye bus lao. Subiri upotishaji mkubwa unaletwa. Labda kuwe na taarifa za kutosha kuhusu ticket yake na bus likubali kuwa alikuwa abiria wao, na alishushwa njiani kitu ambacho sitegemei.Mabasi ya Kisasa mengi yana CCVT lakini zisije kupotea kama kwenye tukio la Lissu.
Bus namba EES likose camera?Inategemea lilikuwa ni gari la daraja gani.
Huenda zilikuwepo lakini sitarajii kuona wakitoa footage yoyote, naamini watapigwa pini na mamlaka ili wasitoe ushirikiano wowote.Bus namba EES likose camera?
Yaap hilo nadhani limeshafanyika.Huenda zilikuwepo lakini sitarajii kuona wakitoa footage yoyote, naamini watapigwa pini na mamlaka ili wasitoe ushirikiano wowote.
Natafuta kengele za kuvalisha paka zile za kienyeji naweza pata wapiHuu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.
Subira yavuta heri.
Kuna maeneo huruhusiwi kupiga au kuchukua picha unajipalia makaa ya moto.sema basi zima hakuna raia aliyerekodi tunakwama sana wananchi kwa kuzingatia malalamiko ya matukio kama haya
Mmmm umewastua....wataenda kuziteka hizo csmera waweke mpya.....kosa kubwaasHuu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.
Subira yavuta heri.
WatanzaniaKuna maeneo huruhusiwi kupiga au kuchukua picha unajipalia makaa ya moto.
Wangekuchukua na wewe mpiga picha unaenda kuuwawa kwa kiherehere kuingilia yasiyo kuhusu