Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

Ziwepo au zisiwepo haisaidii kitu.
Ni nani mwenye silaha za kivita na ana mamlaka ya kusimamisha basi la abiria kisha kumchukua mtu ?
Jibu ni serikali ndiyo muuaji.
Hatuna Rais ndugu yangu, umeshawahi kusikia akitoa kauli yoyote ya KUKEMEA AU KUTOKOMEZA UDHALIMU huo? Samia na kijana wake Abdul ndio wafadhili wa hayo MAGENGE ya UTEKAJI NA MAUAJI. NI HUZUNI
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
nadhani uchunguzi uanzie kwa mtoa taarifa ile na taasisi yake kuna kitu kwenye uchaguzi wao unaoendelea picha kamili itaonekana kuanzia tu pale 🐒
 
sema basi zima hakuna raia aliyerekodi tunakwama sana wananchi kwa kuzingatia malalamiko ya matukio kama haya
 
Mabasi ya Kisasa mengi yana CCVT lakini zisije kupotea kama kwenye tukio la Lissu.
Kwa taarifa yako tayari basi husika wameshapewa onyo kutokukubali kuwa huyo abiria alikuwa kwenye bus lao. Subiri upotishaji mkubwa unaletwa. Labda kuwe na taarifa za kutosha kuhusu ticket yake na bus likubali kuwa alikuwa abiria wao, na alishushwa njiani kitu ambacho sitegemei.
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Natafuta kengele za kuvalisha paka zile za kienyeji naweza pata wapi
 
kuna kama tabia imezuka watu wenye hasira kali kutekeleza matukio ya kikatili hili limekua sana ndani ya kipindi kifupi kikubwa jamii ipewe elimu juu ya madhara ya kujichukulia sheria mkononi
 
Kumbukumbu la Torati 28
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.

19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,

20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.

21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.

22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.

23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.

24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.

25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.

26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.

27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.

28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni
Haya maombi yangu kwa Siku ya Leo kwa SSH,Spika wa Bunge watawala wote na Magenge yao ya wauaji
 
sema basi zima hakuna raia aliyerekodi tunakwama sana wananchi kwa kuzingatia malalamiko ya matukio kama haya
Kuna maeneo huruhusiwi kupiga au kuchukua picha unajipalia makaa ya moto.
Wangekuchukua na wewe mpiga picha unaenda kuuwawa kwa kiherehere kuingilia yasiyo kuhusu
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Mmmm umewastua....wataenda kuziteka hizo csmera waweke mpya.....kosa kubwaas
 
Back
Top Bottom