Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Wote ni wale wale, hii kampuni inahusika 100%
 
Nimeshuhudia Kuna maeneo huruhusiwi kupiga PICHA.

Wengine tunajua Maumivu yanafananaje na tumeyapitia pia

Mkuu LAX ulitaka kusemaje MKUU
kama kuna muda wa wananchi kugomea baadhi ya taratibu basi ni kipindi hiki. Mtu kaka matwa kwenye basi anakutawa marehemu ufukweni. jeshi linakata kabisa hata tukio la kumkata. Alafu watu waendelee kutii kwamba kuna sehemu huruhusiwi kurekodi.

Watanzania kwa ujumla wao wataamua wenyewe kila mtu kwa muda wake
 
Kweli,
mkuu alaf Kuna wanao SEMA chadema wanaua watu WAO Vs wanao SEMA serikali ya mama Samia ndio engineering

Which is which.

Ngoja tusubir kunakaribia kukucha (mapambazuko)
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.

Hao walifanya huo uhuni ni proffesional Killers ,well trained kwa ajili ya kuua,maana walikuwa hadi na tindikali,halafu ndiyo kazi yao wanayoisfanya maana ilionekana miili mingine mitatu ukiondoa mwili ya meddy.
 
Mmmm umewastua....wataenda kuziteka hizo csmera waweke mpya.....kosa kubwaas

Wakifanya hivyo ndiyo tunapigia mstari kwamba wao ndiyo wanahusika ,hadi sasa tunajua ni "Wasiojulikana" ila wakiondoa kamera tuna conclude tu......Boni Yai /MMM/Ndugu wa meddy waende ofisi za hilo Buis waombe CCTV Footage haraka iwezekanavyo.
 
Siasa za ua mmoja uwatishe mia moja, Eti ndo tutaendelea kama Taifa au ndio tutaendeleza deni 🗣️
 
Haya nayo n matumizi mabaya ya Server ya Jf

Yani watekaji wakajichunguze??... Hizi akili au matope??
 
Mwenye ufahamu juu ya hili la ccvt camera kwenye mabasi ya Tashriff atujuze. Italeta mwanga kama zilikuwepo zikazimwa au hazipo kabisa.
Naamini hazikuwepo kumbuka kunammoja alikuwa ndani ya gari usikute alihakikisha kilakitu kwenye gari hakipo kinachoitwa kamera

Abiria ndio walitakiwa wapige picha
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Camara sio kigezo. Watu hao kama kusudia kufanya wangaliondoa kamera wakaondoka nazo. Lissu ziko wapi?
 
Back
Top Bottom