Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

Safi, na ndo mana nasema JPM alisingiziwa mabaya mengi mana hayo mambo yalikuwepo hata kabla yake ila baada ya kuongeza kuwabana Chadema ndio mana kelele zilikuwa nyingi tofauti na watangulizi wake.
Hakusingiziwa aliyafanya kweli na huyu wa sasa naye anayafanya.
 
Unaweza kubebwa juu juu kwa nguvu na ukaambiwa ""KUTAKA KULIZUIA JESHI KUTENDA KAZI YAKE""

Unaambiwa KULIZUIA JESHI KUTENDA KAZI YAKE.
basi zima lishike camera watabeba wangapi hapo.?
 
Hao abiria waliokuwa kwenye hilo gari wako wapi mpaka sasa kusema jambo? Kwahy baada ya tukio Bus likaendelea na safari yake kama vile hakuna lililotokea?

Kwa akili zetu za kibongo lazima kuna mtu alichomoa simu yake na kuanza kurikodi hilo tukio, hy video iko wapi?

C alichukuliwa mbele ya wanausalama wa barabarani, walifanya nini?

Sio kila gari la kisasa lina Camera, huo n uongo. Kuwa na camera na kuweza ku-operating camera n vitu viwili tofauti.
Hali imeshakuwa mbaya kila mtu anaogopa kutekwa na kuteswa hadi kufa.
 
Hali imeshakuwa mbaya kila mtu anaogopa kutekwa na kuteswa hadi kufa.
N kweli ila bado kuna kitu hakipo sawa, haiwezekani hakuna ushahidi kutoka kwa hao watu labla tusubir muda sahihi watakuja wanasubiri hizi kelele ziishe afu tukutane na video
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
watakwambia basi lao kamera zimeharibika. ila tungewapata hao sura zao mbona kesi ilikuwa imeisha.
 
Si ajabu unaongea hayo ukiwa hauna uzoefu wa kuwekwa chini ya ulinzi hata na panya road tu.

Lile ni tukio halisi kijana sio movie, watu wana silaha za kivita mkononi hata ungekua wewe ungepata wapi ujasiri wa kutoa iyo simu kurekodi
Ukiambiwa mikono juuu (hands up) Alaf mtu mmoja akaleta janja janja jua mauti yana muita

Asante Sanaa ndugu natafuta ajira kwa ku CEMENT hapo juu maana amri ikitolewa hiyo Ina kua an ORDER na waliweka wazi kua atakae chukua video au picha anajumuishwa na mzee KIBAO.
 
Katika matukio kama haya, kitu cha kwanza wavamizi wanawaambia laleni chini au wekeni mikono juu, ukikaidi amri umekwisha hawarudii mara mbili maana ni tukio ambalo wanatakiwa kulifanya haraka sana kwaiyo hawawezi kupoteza muda na mtu mmoja.

Sasa watu wanaongea mambo kirahisi rahisi tu wakijua haya matukio ni kama maigizo ya kwenye movie za wakina jason statham
 
Sasa wewe ndugu unaongea kama mgeni.
Yaani ni nani hii nchi awe na uwezo wa kuchomoa sms zaidi ya moja hadharani na kublock njia kisha kumtoa mtu ndani ya basi la umma na kuondoka naye kama si serikali?
Ndani ya gari kulikuwa na traffic police man . Hakufanya jambo lolote na maisha yanaendelea
Tusi shutumu tuu.
Huyu jamaa alikuwa nani katika maisha nje ya siasa.
Hakujihusisha na kufanya mambo ambayo haya endani na maadili ya ya kuishi.

Isije kuwa watu wamelipa kisasi na sasa watu wana singizia Serikali.
Jee alikuwa hana maadui huko uraiani?

Jee dereva na watu wote ndani ya basi wamesema nini kuhusu tokeo hili.
Hakuna hata mmoja aloona chochote?
Nani ka wahoji hawa?

Watu wachadema kwanini wasiwa hoji hawa?
waandishi kwanini wasi wahoji hawa?
 
Katika matukio kama haya, kitu cha kwanza wavamizi wanawaambia laleni chini au wekeni mikono juu, ukikaidi amri umekwisha hawarudii mara mbili maana ni tukio ambalo wanatakiwa kulifanya haraka sana kwaiyo hawawezi kupoteza muda na mtu mmoja.

Sasa watu wanaongea mambo kirahisi rahisi tu wakijua haya matukio ni kama maigizo ya kwenye movie za wakina jason statham
Jcb_ukisikia Paah
 
Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa Ally Kibao, Kwa mwendo wa Haraka sana Msemaji wa Polisi aliita Wanahabari na kufafanua, Lakini inashangaza baada ya Mzee huyu Kuuawa Msemaji huyo bado mpaka sasa yuko kimya, Hata hivyo bado tunaamini atajitokeza na kutueleza analolijua.

Subira yavuta heri.
Nyie endeleeni kusubiria wawafanyie kazi kama nyie hamuwezi kufanya kitu katika uchunguzi.
 
Hayo maeneo aliyotekwa marehemu hakuna majengo yenye CCTV yaliyorekodi tukio zima?
 
Tusi shutumu tuu.
Huyu jamaa alikuwa nani katika maisha nje ya siasa.
Hakujihusisha na kufanya mambo ambayo haya endani na maadili ya ya kuishi.

Isije kuwa watu wamelipa kisasi na sasa watu wana singizia Serikali.
Jee alikuwa hana maadui huko uraiani?

Jee dereva na watu wote ndani ya basi wamesema nini kuhusu tokeo hili.
Hakuna hata mmoja aloona chochote?
Nani ka wahoji hawa?

Watu wachadema kwanini wasiwa hoji hawa?
waandishi kwanini wasi wahoji hawa?
Usiwe kama huna akili timamu.
Ni nani ndani ya nchi hii anaweza kufadhili watu zaidi ya 8 na kuwapa magari mithili ya polisi, kisha kuwapa bunduki za kivita wakamteke mtu mchana kwenye gari lenye watu zaidi ya 60 na ndani kuna polisi naye polisi akae kimya tu ?
 
Back
Top Bottom