Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Katika hali isiyokuwa ga kawaida mkoani Mtwara leo basi za Machinga zimeshusha bei kutoka 26,000 mpaka 18,000, hizi basi zilikuwa ni High Class kabisa kwa Mtwara to Dar High Class ni 26,000 na Class ya mwisho ni 18,000 lakini basi hizi za machinga zimeshusha bei zikiwa katika hali ileile ya ubora na mwisho jana nilipanda kwa 26,000.
Maning Nice pia kashusha bei toka 22,000 mpaka 18,000 hii inaashiria nn?
Maning Nice pia kashusha bei toka 22,000 mpaka 18,000 hii inaashiria nn?