π wakianzaga mbwembwe nyingi sanaaaa makamera mapichapicha kibaooWatanzania tuna Mbwembe nyingi sana kwenye miradi.
DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano
1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi?
2. Kwa nini abiria shekilango, Manzese Kagera, hata Magomeni wasubiri daladala za Sinza kwenda Posta na Kkoo wakati hiyo ni route ya UDART?
Huu mradi pia ni muujiza kwa biashara inayotaka kufa kwa kuzidi wa na wateja.
Abiria/biashara ipo lakini wanachemsha π
Hii laana au π
Na hiyo mwendo wa umeme mmh Xmas 2 wakijitahidi 3 naipa π chalii
Ova
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Mleta mada unaulizaje vitu ambavyo majibu yake unayo? inamaana hujui kbisa kama hilo limradi limeshajifia siku nyiiingiiiiiii, tatizo la ku copy na ku paste ndio hilo na sasa tunasubiri anguko la SGR mimi sijawahi kuamini serikali zetu hizio za upigaji kama zinaweza kufanya kitu chochote cha maana .
They don't careHivi viongozi wa serikali wakipita kwa forums kama hivi na kusoma negative remarks toka kwa wadau, hivi huwa wanajisikiaje? Au wamebofya button ya "we don't care"!?
Binafsi naona ni fedheha kupewa taasisi uiongoze na kila siku inasemwa vibaya kwa huduma mbovu, wakati solutions zipo tena hazihitaji rocket science.
Naunga mkono hoja"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.