Mabasi Mwendokasi mnafeli wapi?

Mabasi Mwendokasi mnafeli wapi?

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,193
Reaction score
810
DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano

1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi?

2. Kwa nini abiria shekilango, Manzese Kagera, hata Magomeni wasubiri daladala za Sinza kwenda Posta na Kkoo wakati hiyo ni route ya UDART?
 
Mleta mada unaulizaje vitu ambavyo majibu yake unayo? inamaana hujui kbisa kama hilo limradi limeshajifia siku nyiiingiiiiiii, tatizo la ku copy na ku paste ndio hilo na sasa tunasubiri anguko la SGR mimi sijawahi kuamini serikali zetu hizio za upigaji kama zinaweza kufanya kitu chochote cha maana .
 
Abiria/biashara ipo lakini wanachemsha 😄
Hii laana au 😄
Na hiyo mwendo wa umeme mmh Xmas 2 wakijitahidi 3 naipa 😄 chalii

Ova
 
Bado sana labda mpka wafunguwe njia ya mbezi ya mwendokas ndo watakuwa full yan mbezi to mjin dk 30 tu
 
Huu mradi pia ni muujiza kwa biashara inayotaka kufa kwa kuzidi wa na wateja.
 
Hivi viongozi wa serikali wakipita kwa forums kama hivi na kusoma negative remarks toka kwa wadau, hivi huwa wanajisikiaje? Au wamebofya button ya "we don't care"!?

Binafsi naona ni fedheha kupewa taasisi uiongoze na kila siku inasemwa vibaya kwa huduma mbovu, wakati solutions zipo tena hazihitaji rocket science.
 
DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano

1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi?

2. Kwa nini abiria shekilango, Manzese Kagera, hata Magomeni wasubiri daladala za Sinza kwenda Posta na Kkoo wakati hiyo ni route ya UDART?
Huu mradi pia ni muujiza kwa biashara inayotaka kufa kwa kuzidi wa na wateja.
Abiria/biashara ipo lakini wanachemsha 😄
Hii laana au 😄
Na hiyo mwendo wa umeme mmh Xmas 2 wakijitahidi 3 naipa 😄 chalii

Ova
Mleta mada unaulizaje vitu ambavyo majibu yake unayo? inamaana hujui kbisa kama hilo limradi limeshajifia siku nyiiingiiiiiii, tatizo la ku copy na ku paste ndio hilo na sasa tunasubiri anguko la SGR mimi sijawahi kuamini serikali zetu hizio za upigaji kama zinaweza kufanya kitu chochote cha maana .
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hivi viongozi wa serikali wakipita kwa forums kama hivi na kusoma negative remarks toka kwa wadau, hivi huwa wanajisikiaje? Au wamebofya button ya "we don't care"!?

Binafsi naona ni fedheha kupewa taasisi uiongoze na kila siku inasemwa vibaya kwa huduma mbovu, wakati solutions zipo tena hazihitaji rocket science.
They don't care

Ova
 
Nawasikitika sana wanaotumia huo usafiri wa mwendo kasi , kwa kweli ni mateso ya kujitakia au kulazimishiwa .
DART mbona mnatesa hivyo abiria wenu? Kuna jamaa yangu hapa anajiimu saa 11 kupanda mwendo kasi wakati kazini kwake anatakiwa afike saa mbili .Anafika posta sa 12 anapiga maktime hadi saa 2 .
Peakhour ni huruma sana watu wanakuwa wengi kulipo magari na unakuta hakuna utaratibu na watu wamechelewa kila mtu anataka kupanda watu wengine wanaanguka kwa kusukumizana yaani ful vurugu.
Huo usafiri siutumiagi kabisa
 
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom