Abood sio Mzanzibar,Abood asili yao ni yemen..baba yake mzee mohamed Abood alitoka Yemen moja kwa moja akaenda kuishi Morogoro kupigapiga dili ndio akafikia pale..
Kwenye masekeseke ya uhujumi uchumi enzi hizo aliwahi kuwekwa ndani yeye na mwanae mkubwa Tarari kabla ya kukutwa hawana hatia