Malinyingi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 864
- 164
Jana nilipata safari Fupi ya Kwenda na kurudi morogoro, nikiamini kuwa usafiri pekee wa uhakika Kwenda na kurudi morogoro ni Abood bus service. Wakati wa Kwenda sikushangaa sana niliona mende Kama wa tatu hivi wale wa dogo wa dogo nikiamini niuchafu wa kawaida tena labda kuna mzigo uliopandishwa ukiwa na mende hao.
nilikuja kustaajabu wakati narudi kutoka Moro kuja Dar kwa Basi lingine la kampuni hiyo hiyo nalo lina mende wengi zaidi ya wale waliokua kwenye basi lile la awali.
najiuliza inakuwaje wamiliki wa mabasi haya wanashindwa kuyafanyia usafi wakati wanapata abiria wengi tu