Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.