Ni kodi zetu?Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
Mimi siyo mwana CCM, lakini, huli bila ushahidi ni umbeya kama umbea mwingine..!!Ruzuku ya CCM na mapato ya viwanja vya mpira walivyopora haviwezi kuendesha chama Chao na kununua mabasi hayo ,yale yale ya V8 za Polepole na Magu.
Hizi fedha zinatoka kule kule zinapotokea wanopewa viongozi wa dini na makanisa.