Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Hawa jamaa wanafanyia biashara jina tu, ila kimsingi mabasi yao mengi yamechoka sana. Nakushauri uanze kusafiria KLM express, hutajutia!
 
kwani gari kuharibika ni kitu cha ajabu!!hiyo ni sawa na mtu kuwa mgonjwa,je mtu huyo afanyweje?!
 
Hawa jamaa wanafanyia biashara jina tu, ila kimsingi mabasi yao mengi yamechoka sana. Nakushauri uanze kusafiria KLM express, hutajutia!
Una maana ni Kilimanjaro express ama lile shirika la ndege la wadachi? Nitoe tongo tongo hapo....
 
hayo mabasi siku hizi yamechoka sana,,, ukipanda darexp. Labda upande zile benz ambzo ni mpya, na nauli yake ni 30,000,,,lakini hayo mengine ya nauli ya 28,000 hayafai kabisa,, yamechoka sana,,, kuna siku tulikutana na gari nne along the way from dar to ars za hii kampuni zikiwa na shida njiani,, can u imagine 4 buses of the same company,having problems the same day???,,wamechoka kwakweli,, i would advice u, kwa kusafiri dar-ars, use kilimanjaro exp, mtei au hata metro nae ana gari yake moja nzuri sana,,,incase u choose dar exp. Mek sure u go 4 the benz,, na sio irizar wana marcopolo
 
Dah mie nilizihama kitambo baada ya hata zile wanazoita luxury kugeuka kuwa vimeo. Kitu KLM express kipupwe hadi unafika.
 
Wahudumu wao wenyewe wanaringa
Nilishaacha kupanda magari yao.
Kitu fly 540(Ngorika) na KLM.
 
Wahudumu wao wenyewe wanaringa
Nilishaacha kupanda magari yao.
Kitu fly 540(Ngorika) na KLM.

Ngorika imetulia. . .
Last time niliboreka na Dar Express maana tulikutana na lililoharibika Same , abiria wake wakaja kutubana kwenye siti zetu.
 
Heri yenu. wengine tuliwahi kuketa uzi juu ya matatizo ya Dar Ex, tukaambiwa tumetumwa
 
tulitoka Arusha na Benz ikakata mafuta kimara mwisho ! Mhudumu anatubania soda na pipi !
 
tulitoka Arusha na Benz ikakata mafuta kimara mwisho ! Mhudumu anatubania soda na pipi !

hahahaha,,,haya mkuu,, so u r totally disqualifying dar exp???, japo nimejitahidi kuzitetea benz wewe tena umeziponda kbsa??? Anyway, we r all trying to speak the truth kwa faida ya wana jf na watanzania kwa ujumla... B blessed!
 
hamia Chakito Long way Arusha masaa 6 tu kwa sisi makabwela ila kama wewe una ka element cha kifisadi basi panda Metro ni mwisho wa kazi!
 
Hawa jamaa wanafanyia biashara jina tu, ila kimsingi mabasi yao mengi yamechoka sana. Nakushauri uanze kusafiria KLM express, hutajutia!

Magari ya Dar Express yamechoka sana. Mkuu T upo sahihi na umempa mshikaji ushauri sahihi. Ngugu na jamaa zangu wanapanda KLM kwa safari za Dar - Arusha na sijajutia katika hili.
 
Mzee Mremi yuko fungate ameoa kabinti kadogo age yake km Lulu vile. Akirudi huduma itaendelea km kawaida ndg wateja!!!
 
hamia Chakito Long way Arusha masaa 6 tu kwa sisi makabwela ila kama wewe una ka element cha kifisadi basi panda Metro ni mwisho wa kazi!
Chakito Longway Bus ya ukweli aisee kwa sisi makabwela.
 
Liiiiiiiizy ivi nawe ni wa nyumbaniiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!??
 
Liiizy sie watu wa pwani huwa hatuna safari, labda ngomani tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…