Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

kwani gari kuharibika ni kitu cha ajabu!!hiyo ni sawa na mtu kuwa mgonjwa,je mtu huyo afanyweje?!

Si ajabu kwa Tz kwa vile tumezoea kuonewa na kupata shida.

Kwa nchi nyengine zinazothamini maisha ya raia wao huoni mambo kama hayo yakitokea.
 
Chakito Longway ni noma, ile ni engine kubwa baba hata ukiwa na gari ndogo inabidi ukomae ndiyo uipite Chakito.

kuna siku niliipanda nikaingia hapa dar saa 6 mchana daah ilikuwa kama tumerushwaa....!!?
 
hahahaha,,,haya mkuu,, so u r totally disqualifying dar exp???, japo nimejitahidi kuzitetea benz wewe tena umeziponda kbsa??? Anyway, we r all trying to speak the truth kwa faida ya wana jf na watanzania kwa ujumla... B blessed!
yaani nilichukia saana ! Tulimuuliza dereva unakuaje sasa, akasema mbovu mbovu akituchanganya sisi na tajiri yake !
 
Mzee Mremi yuko fungate ameoa kabinti kadogo age yake km Lulu vile. Akirudi huduma itaendelea km kawaida ndg wateja!!!
Khaaa ! Lazima mzee akamuee, akirudi angalau iwe imejibu
 
Mshaanza promo! haya bwana,ila vp Harambee na Serengeti Bus?
 
hayo mabasi siku hizi yamechoka sana,,, ukipanda darexp. Labda upande zile benz ambzo ni mpya, na nauli yake ni 30,000,,,lakini hayo mengine ya nauli ya 28,000 hayafai kabisa,, yamechoka sana,,, kuna siku tulikutana na gari nne along the way from dar to ars za hii kampuni zikiwa na shida njiani,, can u imagine 4 buses of the same company,having problems the same day???,,wamechoka kwakweli,, i would advice u, kwa kusafiri dar-ars, use kilimanjaro exp, mtei au hata metro nae ana gari yake moja nzuri sana,,,incase u choose dar exp. Mek sure u go 4 the benz,, na sio irizar wana marcopolo
Wanatakiwa waitwe Dar-Ford express (Fix On Road Daily)
 
Wahudumu wao wenyewe wanaringa
Nilishaacha kupanda magari yao.
Kitu fly 540(Ngorika) na KLM.

Nazozijua mimi mwenzake na BUFFALO au kuna nyingine? Unless kuna nyingine otherwise You are not serious:shocked:

Metro ni mwisho wa kazi!

Metro nilipanda last year August, wanayo luxury moja ya ukweli balaa, I hope ile kitu bado ipo vile vile maana bongo kitu kipya doesn't last longer
 
Na huduma ya choo pale Moshi kwenye terminal yao sasa hivi unalipia 200/- sijui ndo kuongezea kipato.
 
Kulikoni mabasi haya siku hizi? huduma zimekuwa mbovu hawajali muda, kauli mbaya kwa wateja, hoteli yao pale korogwe imekuwa chafu, ofisi zao chafu basi tabu tupu.... SHABIBY, GREEN STAR, SUMRY tuokoeni ROUTE ya DAR ARUSHA
 
Wewe unachiki Binafisi na Huyu Mjasiriamali, Dar express bado yuko Juu sana na huduma zao ni Nzuri sana, Hoteli yao ni chafu kivipi?

Haya ni majungu vinginevyo njoo na vielelezo vinaonyesha kwamba wanatenda hayo uliyo yasema, Kwa Tanzania nzima huyu jamaa ndo ana Mabasi Standard wewe unazungumzia Summry chesesi za Malaori?
 
Kulikoni mabasi haya siku hizi? huduma zimekuwa mbovu hawajali muda, kauli mbaya kwa wateja, hoteli yao pale korogwe imekuwa chafu, ofisi zao chafu basi tabu tupu.... SHABIBY, GREEN STAR, SUMRY tuokoeni ROUTE ya DAR ARUSHA

hilo lenye jina na langi usije ukalogwa ukalipanda labda ununue ugali kabisa
 
Weshashiba hela hao! Ukienda kata ticket hasa ofisi za Arusha , Vibinti walaaa havijali ndo kwanza vinavuta tumidomo twaoo!!! Mie nlipoona hivyo huyoooo nkaondoka kwenda kata Kilimanjaro ya nini shida yakhee? Weshashiba pesa wajiona matawi ya juu kumbe hata mchicha umewazidi kimo ati....
Jirekebisheni.......
Nendeni mkajifunze customer care...... Mabasi yenye nidhamu mengi siku hizi
Ulizeni njia ya Dar Mwanza Mtaambiwa...:wacko:
 
Back
Top Bottom