Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Liiiiiiiizy ivi nawe ni wa nyumbaniiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!??
Kabisa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liiiiiiiizy ivi nawe ni wa nyumbaniiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!??
Liiizy sie watu wa pwani huwa hatuna safari, labda ngomani tu!!
masaa 6 tu mjomba haina ubishi.
kwani gari kuharibika ni kitu cha ajabu!!hiyo ni sawa na mtu kuwa mgonjwa,je mtu huyo afanyweje?!
Chakito Longway ni noma, ile ni engine kubwa baba hata ukiwa na gari ndogo inabidi ukomae ndiyo uipite Chakito.
yaani nilichukia saana ! Tulimuuliza dereva unakuaje sasa, akasema mbovu mbovu akituchanganya sisi na tajiri yake !hahahaha,,,haya mkuu,, so u r totally disqualifying dar exp???, japo nimejitahidi kuzitetea benz wewe tena umeziponda kbsa??? Anyway, we r all trying to speak the truth kwa faida ya wana jf na watanzania kwa ujumla... B blessed!
Khaaa ! Lazima mzee akamuee, akirudi angalau iwe imejibuMzee Mremi yuko fungate ameoa kabinti kadogo age yake km Lulu vile. Akirudi huduma itaendelea km kawaida ndg wateja!!!
Wanatakiwa waitwe Dar-Ford express (Fix On Road Daily)hayo mabasi siku hizi yamechoka sana,,, ukipanda darexp. Labda upande zile benz ambzo ni mpya, na nauli yake ni 30,000,,,lakini hayo mengine ya nauli ya 28,000 hayafai kabisa,, yamechoka sana,,, kuna siku tulikutana na gari nne along the way from dar to ars za hii kampuni zikiwa na shida njiani,, can u imagine 4 buses of the same company,having problems the same day???,,wamechoka kwakweli,, i would advice u, kwa kusafiri dar-ars, use kilimanjaro exp, mtei au hata metro nae ana gari yake moja nzuri sana,,,incase u choose dar exp. Mek sure u go 4 the benz,, na sio irizar wana marcopolo
Wahudumu wao wenyewe wanaringa
Nilishaacha kupanda magari yao.
Kitu fly 540(Ngorika) na KLM.
Metro ni mwisho wa kazi!
wahudumu wao wenyewe wanaringa
nilishaacha kupanda magari yao.
Kitu fly 540(ngorika) na klm.
mzee mremi yuko fungate ameoa kabinti kadogo age yake km lulu vile. Akirudi huduma itaendelea km kawaida ndg wateja!!!
Chakito mwanzo mwisho
Kulikoni mabasi haya siku hizi? huduma zimekuwa mbovu hawajali muda, kauli mbaya kwa wateja, hoteli yao pale korogwe imekuwa chafu, ofisi zao chafu basi tabu tupu.... SHABIBY, GREEN STAR, SUMRY tuokoeni ROUTE ya DAR ARUSHA