Mabasi ya Hood yameishia wapi?

Mabasi ya Hood yameishia wapi?

... TTBS - Tanganyika Transport Bus Service; mlango wa abiria uko katikati ya bus na carriers ziko juu ngazi za kupandia huko ziko karibu na siti ya mlangoni.

Leyland na Bedford hizo! Scania by then bado sana; Marco Polo ndio ndoto za alinacha; Yutong hajatungwa mimba. Sina hakika kama kata-K wanaelewa.

Kipindi kile mwanamke kuvaa suruali ilikuwa ni aibu ya mwaka leo wako na skin tight maofisini na masokoni!
Na kweli ukiangalia picha za miaka ya 90 80 hivi huoni mwanamke akiwa amevaa suruali c..hata waliokuwa wakivaa walichkuliwa tofauti kama wlaikuwa wakijiuza na wengi wao walivaa mabwanga na wlivaa kanga kwa juu..najiuliza ile stara ilienda wapi nani alianzisha hii style wanawake kuvaa tight bukta skin jeans top crop top na wapo confortable kutembea barabarani nowdeiz ni kawada maana mtt anaveshwa nguo hizo tangu akiwa mdogo mpaka anakua mama wa familia anaona ni kawaida..mbaya zaidi mpaka madhabahuni hizo nguo tajwa unazikuta na huskii baba askofu akikemea
 
... ule Mkutano wa Beijing (ambao Tanzania ilikuwa chair) uliibua mambo mengi sana; sio mazuri tu na ya hovyo pia.
 
Bila connections nchi hii hata Abood yasingekuwapo.

Angalia Shabiby pia. Hao wana rub shoulders na mawaziri wa sekta husika bungeni: mambo ya ndani na uchukuzi.

Magari yasumbuliwe vipi na wale mabingwa wa kubrashi viatu?
Na huo ubunge Abood anaung'ang'ania kwa sababu hiyo tu, wala hana interest na mafao ya ubunge.
 
... TTBS - Tanganyika Transport Bus Service; mlango wa abiria uko katikati ya bus na carriers ziko juu ngazi za kupandia huko ziko karibu na siti ya mlangoni.

Leyland na Bedford hizo! Scania by then bado sana; Marco Polo ndio ndoto za alinacha; Yutong hajatungwa mimba. Sina hakika kama kata-K wanaelewa.

Kipindi kile mwanamke kuvaa suruali ilikuwa ni aibu ya mwaka leo wako na skin tight maofisini na masokoni!
Zama hizo za makampuni ya akina Mfamao, Kilanga, MORETCO, KAMATA nk
FB_IMG_1634322389082.jpg
693796965133.jpg
 
Back
Top Bottom