Na kweli ukiangalia picha za miaka ya 90 80 hivi huoni mwanamke akiwa amevaa suruali c..hata waliokuwa wakivaa walichkuliwa tofauti kama wlaikuwa wakijiuza na wengi wao walivaa mabwanga na wlivaa kanga kwa juu..najiuliza ile stara ilienda wapi nani alianzisha hii style wanawake kuvaa tight bukta skin jeans top crop top na wapo confortable kutembea barabarani nowdeiz ni kawada maana mtt anaveshwa nguo hizo tangu akiwa mdogo mpaka anakua mama wa familia anaona ni kawaida..mbaya zaidi mpaka madhabahuni hizo nguo tajwa unazikuta na huskii baba askofu akikemea