Mabasi ya Hood yameishia wapi?

Ngorika Zipo Hapo Moshi Mjini Zimelala Usingizi Wa Pono Yaani Hatari
Hood Sasa Hivi Nyingi Zinabeba Staff Wa Alliance One Kupeleka Kiwandani
Watu Wanasema Zipo Nyingi Yard Zimelala
Scandana
Ipo Mizani Tu Nimepita Mwezi Uliopita Toka Kili Na BM Nikaliona
Morogoro Naona Chache Zinakwenda Alliance One
Niliongea na dereva wabasi hilo akaniambia anasubiri abiria.
 
Jamani mabus ya Hood yamefia wapi? Hood was the only competitor ya Abood and was going faster na pia was sharp wamefia wap? Abood mmewafanya nn?
Huko waliko wafe tena. Kuna siku wametutelekeza shell nikitoka Mbeya to Arusha. Konda na dereva wakakimbia hatukuwoana tena. Nasema wasifufuke wafe mara 100 huko waliko
 
Competition ni kubwa biashara imebadilika inaendana na fashion kama jeans,kitu mchina
Mnajua nini? Biashara za aina yote huwa zinazaliwa na kufa. Biashara ya mabasi inakuwa rahisi ku-note mara inapokufa kwa sababu ni kitu ambacho kinatembea sehemu nyingi hivyo ni rahsi kuonekana na watu wengi. Ukichunguza vitu kama maduka, bar na hata ukulima utakuta kuna nyingi tu zinazoanza na kufa kila mwaka.
 
Mchina anajua biashara ya mabus, ukitaka scania standard ya Mchina huna bilioni moja haujanunua scania New model ambayo kwa bongo hailipi.
Bei ya Scania moja unapata Mchina tano.
Acha kukuza scania kiivyo mfano huyo katarama amenunua scania gemilan kwa million 800 wakati mchina golden dragon unanunua kwa 450m hapo kuna mabasi manne kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…