Mabasi ya HYUNDAI yanamuonekano mzuri sana. Vipi kuhusu ubora wake?

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Kila siku nayaona barabarani, kwa kweli yanavutia sana. Je kwa aliyekwisha panda mabasi hao vipi kuhusu ubora na comfortability yake. Nimeona matajiri mbalimbali wameanza kuyanunua kwa kasi sana.

Picha hazifunguki Mkuu..
 
huyo sio mkorea wala sio Hyundai iyo. Mchina huyo ni mabasi aina ya Higer yanaitwa hayo. bado matajir wa bongo hawajaanza kununua mabasi toka korea kwa sababu korea anatumia left hand drive na gar zake nyingi ni left hand drive, mostly gar zake nyingi zatumika rwanda sana mkorea
 
Ata mimi nilitaka kuulizia hivyo hivyo tu basi!
 
Sio hynduai ambayo inamilikiwa na wajapani bali ni higer
 
Hayo ni Higher.

Huyo ni mchina hata US anapiga kazi. Ni kampuni bora na trustworth kwa dunia nzima.

Matajiri wa kibongo wameyakimbilia sana kwasababu ni bora, class na rahisi kuyamaintain na pia yanadumu muda mrefu kuliko zhongtong buses.
 
Haya mabasi ni imara na bora.
 
Pia kuna kampuni nyingine ya RED BELT imeingiza bus kutoka za Red Dragon kwa kweli hii gari nilipanda gari kutoka kahama kwa kweli ni mazuri
 
1.Hizi Gari si imara kulinganisha na marcopolo...kwa upande wa body
2.Kwa machine ni nafuu mafutani kulinganisha na scania ....
AKILI KU MKICHWA...PESA KU MFUKO....
 
Kila siku nayaona barabarani, kwa kweli yanavutia sana. Je kwa aliyekwisha panda mabasi hao vipi kuhusu ubora na comfortability yake. Nimeona matajiri mbalimbali wameanza kuyanunua kwa kasi sana.
View attachment 326994
View attachment 326995
Kiukweli yana mvuto, hata ndani ni SUPER DELUXY, hadi charger na space ya kutosha ya miguu. Nilimsindikiza mtu aliyesafiri nalo kwenda kanda ya ziwa, nilikaa ndani kidogo wakati yakijivuta kuelekea getini ile asubuhi kuanza safari, ni first class luxury!
Ubora sijajua!
 
nyie ndio wale mnaosindikiza wageni mpk ndani ya basi sipendi hiyo tabia ndio maana airport hawaruhusu kusindikizana sindikizana
 
Nipe jina la hiyo kampuni, nikitaka kwenda home nipande!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…