Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Ha ha ha! Kwani kuna shida gani?! Utanzania huo.nyie ndio wale mnaosindikiza wageni mpk ndani ya basi sipendi hiyo tabia ndio maana airport hawaruhusu kusindikizana sindikizana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! Kwani kuna shida gani?! Utanzania huo.nyie ndio wale mnaosindikiza wageni mpk ndani ya basi sipendi hiyo tabia ndio maana airport hawaruhusu kusindikizana sindikizana
Unatumia cm gani ? au pc ?,Picha hazifunguki Mkuu..
Wacha ubinafsi tumbili wewe kama alikuwa mgonjwa au mpenzi wake mpya asimlinde,nyie ndio wale mnaosindikiza wageni mpk ndani ya basi sipendi hiyo tabia ndio maana airport hawaruhusu kusindikizana sindikizana
Tanzania mwenye scania wanebaki wachache sana Kilimanjaro,dar express, abood amechemka sana sasa,ule mkataba wakudumu jamani scaniaKuna Yutong, Zhongtong, Higer,na Golden Dragon hawa wote.. Ndio walewale tu..wanazipenda sababu ni nafuu tofauti na Scania hasa Marcopolo body ni ghali sana.. Ni wachache wenye uwezo wa kumudu gharama..
Uko right mkuu.nilishawai kupanda basi linaitwa Daewoo.Dereva wa hilo basi akawa anapata shida kuendesha kwenye barabara zetu za bongo since ilikuwa left hand.ikabidi awe anatumia camera kupiga overtake badala ya sight mirror.huyo sio mkorea wala sio Hyundai iyo. Mchina huyo ni mabasi aina ya Higer yanaitwa hayo. bado matajir wa bongo hawajaanza kununua mabasi toka korea kwa sababu korea anatumia left hand drive na gar zake nyingi ni left hand drive, mostly gar zake nyingi zatumika rwanda sana mkorea
mkuu yale Tanzania kwa urefu ule inabidi yapunguzwe wanasema hayakidhi viwango vya Tanroad...Ndugu zangu kuna mabasi ya vilabu wanayopanda wachezaji mfno Arsenal, man u,n.k,je Yale kampuni gani ni mapana marefu na mazuri sana
Check hapo. Sijui kama bongo kuna basi za MAN.Ndugu zangu kuna mabasi ya vilabu wanayopanda wachezaji mfno Arsenal, man u,n.k,je Yale kampuni gani ni mapana marefu na mazuri sana
Wewe ndo mwenye Bus !? :-$nyie ndio wale mnaosindikiza wageni mpk ndani ya basi sipendi hiyo tabia ndio maana airport hawaruhusu kusindikizana sindikizana