Kampuni ya mabasi ya RUKSA CLASS inayofanya safari za Kahama–Mpanda ina changamoto ya mende wengi kwenye baadhi ya mabasi yake.
Your browser is not able to display this video.
Kwa mfano, basi lenye namba T 237 DYM linalofanya safari ya Mpanda–Kahama saa 12 jioni lina mende wengi wanaouma abiria. Mende hao wanaonekana hata kwenye chupa za maji, hali inayofanya safari kuwa ya usumbufu na kutokuwa salama kwa abiria.
Tunaomba mamlaka husika zilifanyie kazi suala hili. Abiria wanalipa nauli kama inavyotakiwa, hivyo wanastahili usafiri wenye usafi, usalama na mazingira bora.
Sipo hapa kujaribu biashara yao, bali napaza sauti ili tatizo hili la mende lishughulikiwe.