Mabasi ya Kenya, huu ni urembo au ni Ushamba?!

Mabasi ya Kenya yamenishinda.
Nikisafiri na mabasi kama haya lazima usiku niote ndoto mbaya!
Hiyo michoro na mapichapicha yamevuka mipaka ya mapambo.
Hiyo ni kazi ya gavana sonko mjenzihuru kawaunganisha wote bila kujua aliidai anatoa ajira kwa artists
 
YAni wakenya ni km wazee wa kichaga , kuvaa hawajui kbsaaa , wa Uganda nao ni walewale mirangi rangi mingi km kachumbariiii πŸ˜…
Mabasi ya Kenya yamenishinda.
Nikisafiri na mabasi kama haya lazima usiku niote ndoto mbaya!
Hiyo michoro na mapichapicha yamevuka mipaka ya mapambo.
 
Vita ya Uzi wa Nairobi vs dar es salaam inaweza kuhamia kwenye Uzi huu
 
Uniqueness, hiyo ndio sanaa ilivyo ukienda dar na daladal zao utachoka zilivyochoka na bado zinabeba abiria
 
Kuna daladala moja ilikuwa na mziki mnene plus kuchorwa chorwa nguvu Mali bombo raskazone unakumbuka??
That was my fav...

Ingawa walikuwa wanapiga taarabs mostly
Naikumbuka...nina historia mbaya saana na daladala za Nguvumali.

Tulipigana na Konda kwa kukataa kusimama kisa mi mwanafunzi na nililipa nauli ya mwanafunzi kama sikosei ilikuwa 50. Alinishika Tanganyika jack nikamn'gata shingo nadhani mpaka sasa huyo jamaa ana alama ya meno yangu.
 
Ulikuwa mkorofi mkuu, nadhani ni ujana.

Sema zile daladala zilikuwa zinarudi nyuma yaaan incase imekupita. Watu wamji ule hawana haraka. Asubuhi asubuhi hupati daladala
 
Mabasi ya Kenya yamenishinda.

Nikisafiri na mabasi kama haya lazima usiku niote ndoto mbaya!

Hiyo michoro na mapichapicha yamevuka mipaka ya mapambo.

View attachment 3330158View attachment 3330177
Hizo basi siyo mpya kama za kwetu huku ambapo sisi tunachukua moja kwa moja kiwandani. Wao wanachonga bodi. Hawana hela ya kununua basi brand new πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…