Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Huku ni kuchoka kwa hali ya juu. Mpaka mkodi watu kutoka Mwakaleli kuja kuandamana!
 
wakuhujumu mabasi watakuwa wanamhujumu Rais,Polisi na serikali kwa kuyaruhusu maandamano.wabadilike!
 
KUTOKA MIKOANI KWENDA WAPI?
 

Propaganda za Kitoto zinapoteza muda ..wandugu.
 
Reactions: Ame
Hiyo tenda ya kusafirisha Wana CHADEMA mbona haikutangazwa

Wasafirishaji wenye magari walipatikanaje?
 
Kumbe na ninyi mnasomba waandamanaji? Ahahahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…