Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello waungwana, nawaombeni muweke kampuni za mabasi yenye kunguni, YAMENIKUTA juzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuomboleze kwanza, pleaseHello waungwana , nawaombeni muweka kampuni za mabasi yenye kunguni , YAMENIKUTA juzi
Anza kutaja hilo basi.Hello waungwana , nawaombeni muweka kampuni za mabasi yenye kunguni , YAMENIKUTA juzi
SaibabaAnza kutaja hilo basi.
Hili Lina kunguni siku hizi!!?Red Belt.
Kunguni haziuiHello waungwana, nawaombeni muweke kampuni za mabasi yenye kunguni, YAMENIKUTA juzi.
Matunda ya ROYAL TOUR yamekuja na neema ya kunguni.Kunguni nao ni kivutio cha utalii.
Kunguni wanasaidia sana kwenye Royal Tour kampeni.
Kunguni oyeee!!
Hapana, huu ni uongo.Gari zote zinazotoka kigoma na bkb kuja dsm...hatari sana hasa giza likiingia.
#MaendeleoHayanaChama
Hata jana nayo ni zamani unaongelea zamani ipi?Hapana, huu ni uongo.
Labda zamani.
Kwa wakwe zako huko kanda ya magharibi/ziwa......teh teh.....Shem hili ndo Gari la kwenda wapi? 😀 😀