MABASI YA SUMRY TAABANI "Mhe. PIGA TU" AJITOA

MABASI YA SUMRY TAABANI "Mhe. PIGA TU" AJITOA

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Kampuni ya Mabasi ya SUMRY iliyotamba miaka ya hivi karibuni baada ya Mheshimiwa kuteuliwa kuwa Kiranja Mkuu sasa yapo hoi baada ya KIRANJA MKUU kutoa hisa zake huko sasa kampuni inapumulia mashine (hali mbaya). Inasemekana Mkuu alienda China kuangalia uwezekano wa Kuagiza Basi za YUTONG ili afungue biashara yake binafsi katika hali ya kuandaa hela ya kampeni 2015. Nawasilisha.
 
Nimesoma thread kwa "usiriazi" toka mwanzo lakini ulipoweka ile PIGA TU EXPRESS imeonekana kumbe unafanya mzaha.
 
Ni kweli SUMRY imefilisika kufuatia /mhe. PIGWA TU kujitoa kwenye kampuni. Pamoja na kuagiza hizo basi za YUTONG si kweli anataka kuanzisha kampuni yake mwenyewe lengo lake anataka kuziingiza kwenye kampuni ya NDENJELA ingawa mmiliki wa NDENJELA BUS yeye ana hofu ya kuwa na share na Mhe. maana ni mtu asiyeelewa chochote pindi biashara inaenda kombo yeye hulazimisha kupewa gawio hata kama kampuni imepata hasara
 
na mbeya express ni za nani? Maana watu wanasema za sumry
 
Back
Top Bottom