Makbel
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 774
- 167
Wadau wa Elimu ule mradi wa mabasi ya wanafunzi umeishia wapi? Nakumbuka CRDB walitoa mabasi matano yenye thamani ya 500 milion ikiwa ni maalum kuwasaidia wanafunzi wa Jijini Dar es salaam kuepukana na shida ya usafiri. Je, yameenda wapi? Sasa hivi hata barabarani hayapo.