Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Fuso engine nyuma ni balaa yaan unanesa nesa tu! Sasa Eicher kama umekalia jiweKweli aisee ,Fuso engine nyuma ,Mitsubishi Rosa za miaka ya 90 ziko very comfortable kuliko basi hizo mpya za mchina na mhindi.
naona hawalion hilo maana wanakaa muda mchache dk 15-20 sasa wangukua wanakaa 1hr na kuendelea ungesikia keleleKwani zile siti za mabasi ya BRT zikoje?
Mbona mm naona ni ngumu kuliko hizo za Tata na Eicher?
Nadhani kimntiki hapa wamengalia ni mabasi yanayosafikri kwa umbali mfupi japo hasa hawa wamiliki wanatubeba hadi kwenye safari za mbali, Mf January nilienda Mpwapwa kwa Eicher ya Lampard aisee makalio yaliwaka moto.
Kweli kabisa. Au matako ya wahindi ni magumu sana yanahimili mikiki ya kila namna?Fuso engine nyuma ni balaa yaan unanesa nesa tu! Sasa Eicher kama umekalia jiwe
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
DCM tena?hivi mimi sijawahi ona DCM mpya yenye radio ndani na namba D.......
Labda mnisaidie picha nyie
Kama Eicher ndo hamna kitu kabisaUkiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
Bora hata Leyland CD ziko comfortableKama Eicher ndo hamna kitu kabisa
Magumu kweli aisee ndio maana yako flat .Kweli kabisa. Au matako ya wahindi ni magumu sana yanahimili mikiki ya kila namna?