Mabasi ya zamani ya Japan yana comfortability kuliko mabasi ya kisasa ya India

Mabasi ya zamani ya Japan yana comfortability kuliko mabasi ya kisasa ya India

Comfortability ya nini wakati unapanda Temboni unashuka StopOver..
kwa Daladala boss anaangalia uimara wa Gari na Hesabu..
Ndo maana DCM mpaka leo zinafanya kazi tena Dar..
Pia Tata na Eicher ni Economy kwenye Mafuta na ndani lina ukumbi wa kutosha..
Tofauti na Coaster au Rosa Au Hizo FUSO au Nissan UD
ambazo zina Engine kubwa
 
Kuna coaster mayai zipo comfortable kuliko hata Yutong.
 
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
Bujibuji Hivi wahindi huwa unawaonaje mfano, kitugani huwa unategemea kwao kuwa kitakuwa na ubora mfano, hizo pilipili wanazo zipenda ndo huwa zinaharibu akili zao na ku affect uwezo wao wa kutengeneza kitu chenye kupendwa kwa confortability na smartness
 
hizo tata na Eicher hata leg-space ni ndogo mno.. kwa sisi wenye miguu mirefu unatamani usimame tu.
 
mimi nilikua najuà tata eicher na dcm hazina spring wala shock up
 
Bujibuji Hivi wahindi huwa unawaonaje mfano, kitugani huwa unategemea kwao kuwa kitakuwa na ubora mfano, hizo pilipili wanazo zipenda ndo huwa zinaharibu akili zao na ku affect uwezo wao wa kutengeneza kitu chenye kupendwa kwa confortability na smartness

Asa sisi ngozi nyeusi tunatengeneza nini?

Si bora ya wao sisi mabingwa wa kubet tu
 
Yale magari ni for short journey.... Sasa sisi wa Bush ndio magari ya safari ndefu.... Yanavyo kausha makalio, zile shape za kina masogange zitapotea kabisa mikoani.
 
Back
Top Bottom