young arrogant
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 267
- 439
Bujibuji Hivi wahindi huwa unawaonaje mfano, kitugani huwa unategemea kwao kuwa kitakuwa na ubora mfano, hizo pilipili wanazo zipenda ndo huwa zinaharibu akili zao na ku affect uwezo wao wa kutengeneza kitu chenye kupendwa kwa confortability na smartnessUkiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
Japan huyo!! coaster matoleo yote ziko poa sana!Kuna coaster mayai zipo comfortable kuliko hata Yutong.
duh.. zimekuwa trailermimi nilikua najuà tata eicher na dcm hazina spring wala shock up
Bujibuji Hivi wahindi huwa unawaonaje mfano, kitugani huwa unategemea kwao kuwa kitakuwa na ubora mfano, hizo pilipili wanazo zipenda ndo huwa zinaharibu akili zao na ku affect uwezo wao wa kutengeneza kitu chenye kupendwa kwa confortability na smartness