Mabati , mabati mgongo mpana ya kutoka nje ya rangi yanauzwa

Mabati , mabati mgongo mpana ya kutoka nje ya rangi yanauzwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Mabati haya yanatokanje ya Tanzania na ni imara mno.Yapo 31 jumla. Ni rangi ya dark blue gauge 28 au meter 3 yanuzwa kwa tshs. 26,000/= kwa bati moja.bei ya dukani ni tshs. 31,000/= kwa bati moja.
Mabati haya yamebakia baada ya kumaliza kuezeka nyumba yangu mwezi jana tu. Kama utataka ya ziada utaunganishwa kuyapata yanyongeza. Wasilaa nami kwa 0713 68 96 65
 
Kwa nini usiwauzie watu wa maduka ya hardware,ni ngumu sana kununua mabati machache kama hayo
 
Kwa we ye uzoefu. Kwani mabati 31 yanaweza ezeka vyumba vingapi vya ft 10 kwa 10?
 
Kwa nini usiwauzie watu wa maduka ya hardware,ni ngumu sana kununua mabati machache kama hayo
Nimewaona baadhi pale Buguruni wanasema hawana hela labda niweke tu kwao sasa mtu unakuwa na wasi wasi dunia imekwisha. Ila nami nimeshawaambia wanajaribu kuniletea wateja na wanakubali baei ila hawajarudi mpaka sasa. Au unaweza kuniunganisha na wenye hela zao wanunue?
ASANTE usaur
 
Kwa we ye uzoefu. Kwani mabati 31 yanaweza ezeka vyumba vingapi vya ft 10 kwa 10?

Mimi sina uzoefu ila nilinunua jumla Mabati 120, nikaezeka nyumba ya vyumba vitatu vya kulala na sitting room na jiko na yakabakia haya 31. Yaani 120 - 31 = 89 pamoja na kofia. Ndio maana nikasema kwa atakayetaka MABATI ya ziada nitamuunganisha nilikoyapata ila bei haitakuwa hii ninayouza mimi. Itakuwa kubwa.
 
hayo, mabati yatakuwa fake, tena yale ya kichina yanayong'ara sana. baada ya muda mfupi tu rangi inafifia na yanapata kutu. kama kwa 18,000 ni pm basi.
 
hayo, mabati yatakuwa fake, tena yale ya kichina yanayong'ara sana. Baada ya muda mfupi tu rangi inafifia na yanapata kutu. Kama kwa 18,000 ni pm basi.

si kweli kaka yanayo nga'ra ni kiboko sijasikia u ya china na sijjanunua kutoka china lakini yangu si kati ya kundi hilo, usihukumu kabala ya kuhakikisha jambo.
 
Mkuu uko pande gani hapa Dar Es Salaam?
 
Mabati haya yanatokanje ya Tanzania na ni imara mno.Yapo 31 jumla. Ni rangi ya dark blue gauge 28 au meter 3 yanuzwa kwa tshs. 26,000/= kwa bati moja.bei ya dukani ni tshs. 31,000/= kwa bati moja.
Mabati haya yamebakia baada ya kumaliza kuezeka nyumba yangu mwezi jana tu. Kama utataka ya ziada utaunganishwa kuyapata yanyongeza. Wasilaa nami kwa 0713 68 96 65

Mkuu habari yako,mkuu kama umeshaezeka fanya mpango nije kukufanyia wiring,mie n fundi umeme mzuri tu,unaweza ukaniwasap 0718302132
napatikana ilala boma
 
hayo, mabati yatakuwa fake, tena yale ya kichina yanayong'ara sana. baada ya muda mfupi tu rangi inafifia na yanapata kutu. kama kwa 18,000 ni pm basi.

Fake huku unayataka aundio namna ya kuomba kupunguziwa?
 
Kwa we ye uzoefu. Kwani mabati 31 yanaweza ezeka vyumba vingapi vya ft 10 kwa 10?

Muezeko wa mgango wa tembo Utaezeka vyumba 3, vya ft 13 kwa10. na utatumia Bati 26 kuezeka na 11/3 kwa kofia hivyo utatumia jumla bati. 28
 
Back
Top Bottom