Nimewaona baadhi pale Buguruni wanasema hawana hela labda niweke tu kwao sasa mtu unakuwa na wasi wasi dunia imekwisha. Ila nami nimeshawaambia wanajaribu kuniletea wateja na wanakubali baei ila hawajarudi mpaka sasa. Au unaweza kuniunganisha na wenye hela zao wanunue?Kwa nini usiwauzie watu wa maduka ya hardware,ni ngumu sana kununua mabati machache kama hayo
Kwa we ye uzoefu. Kwani mabati 31 yanaweza ezeka vyumba vingapi vya ft 10 kwa 10?
hayo, mabati yatakuwa fake, tena yale ya kichina yanayong'ara sana. Baada ya muda mfupi tu rangi inafifia na yanapata kutu. Kama kwa 18,000 ni pm basi.
Mabati haya yanatokanje ya Tanzania na ni imara mno.Yapo 31 jumla. Ni rangi ya dark blue gauge 28 au meter 3 yanuzwa kwa tshs. 26,000/= kwa bati moja.bei ya dukani ni tshs. 31,000/= kwa bati moja.
Mabati haya yamebakia baada ya kumaliza kuezeka nyumba yangu mwezi jana tu. Kama utataka ya ziada utaunganishwa kuyapata yanyongeza. Wasilaa nami kwa 0713 68 96 65
hayo, mabati yatakuwa fake, tena yale ya kichina yanayong'ara sana. baada ya muda mfupi tu rangi inafifia na yanapata kutu. kama kwa 18,000 ni pm basi.
Kwa we ye uzoefu. Kwani mabati 31 yanaweza ezeka vyumba vingapi vya ft 10 kwa 10?