idiomer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 289 Reaction score 342 Aug 8, 2026 #1 Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu
Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,404 Reaction score 5,682 Aug 8, 2026 #2 Mtu unakuta anaitwa jina linamaanisha matako , yaani MAKEBO. ni mateso sanaa aisee
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 Aug 8, 2026 #3 Mtu anatafuna mbususu ya mke wa mtu Mtu anamuua mtafuna mbususu ya mke wake
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 8, 2026 #4 Huwezi kujua kama wewe ni msamehevu au una upendo hadi mtu akufanyie ubaya wa kiwango cha lami.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,721 Reaction score 98,896 Aug 8, 2026 #5 idiomer said: Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu Click to expand... Faida anaijua anaeyafanya
idiomer said: Mtu anatesa mtu Mtu anamuua Mtu Mtu anamdhulumu Mtu Mtu ananyanyasa Mtu Mtu anamtesa Mtu kwa sababu ya mtu Click to expand... Faida anaijua anaeyafanya
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 3,418 Reaction score 13,000 Aug 9, 2026 #6 Umeongea kitaadhima sana. unajua mengi lakini wenyewe wanadhani ndio kulinda mamlaka kumbe wanakosea sanaaaa!!! Heshima yako mkuu kwa kuwa na roho ya kujali wengine!!!
Umeongea kitaadhima sana. unajua mengi lakini wenyewe wanadhani ndio kulinda mamlaka kumbe wanakosea sanaaaa!!! Heshima yako mkuu kwa kuwa na roho ya kujali wengine!!!