"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Hivi bado hawajatuelewa tu kwamba Watanzania tumeisha Gundua misaada yao ni mojs ya chanzo cha ugundu/kuonesha hatuwezi/kutuonesha tuamini Mzungu ni kilakitu/tuamini Kila kitu bora lazima kizaminiwe na Mibeberu now tumeisha stuka haswa baada ya kuwagundua mbinu yao iliwakuibie vizuri wanakuteka kwa vitu vifuatavyo-:

1. Misaada isiyo na mashariti makubwa - Kumbe ni mbinu ya kuwapumbaza kufikilia. Wewe ukitaka kuamini nenda kampatie zawadi ya Gari unayemtongoza uone kama kila utakachomweleza atakukatalia. Utajikuta akikwambia dume zima Olewa na wewe unakubali kuolewa Mfano Mwelekeo wa sera ya Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

2. Haki za Binadamu- Wao kuamini haki za Binadamu ni kufuata mila na desturi za Wazungu, lakini ukifuata na mila na desturi za kiafrika. Kama ni kiongozi utaitwa hauheshimu haki za Binadamu. Lengo lao ni kama sera yao ya ukipigwa shave la kushoto mgeuzie na la kulia wakiwa wanamaana wakituibia tuwaongezee na vingine. Huu ndo sehemu ya upuuzi wa wanaoitwa Haki za Binadamu.

3. Demokrasia: Wameumbuka USA nao wamegundua Mfumo wa Demokrasia waliukosea. Nakumbuka wao ndiyo waasisi. Na kila ambaye hafanyi kama Mmarekani anaitwa Dictator shame on you Marekani. Mpaka saizi Wachina wanawaita hivyo. Lakini Mchina amefanikiwa kimaendeleo baada ya kukataa kuendeshwa na mila na desturi za kimarekani.
N.k
Hao wachina unaojifananisha nao unawapata hata nucta kwa maendeleo?
 
Hakukua na civil war Bali NATO Ndio ilimmaliza Gaddafi
Wale watu wa banghazi walikua wanaonewa kama vile jiwe anvyowaonea Wazanzibari
Raia wa Libya hawakua na silaha za kupigana
As we speak now Ndio kuna civil war
When you say watanzania hawawezi kuingia msituni unajidanganya
Hivi majuzi wazanzibari walakataa kuandamana mikono mitupu walimuomba maalim Seif awatafutie kontena la silaha Ndio wataandamana kauli kama hizi zinaonyesha vipi watu wamechoka kunyanyaswa katika nchi yao
Anyway Wacha tuone dhulma na unyanyasaji mwisho wake ni nini
Kumbe hata hujui kuwa NATO waliingilis vita vya wenyewe kwa wenyewe kuwalinda hao wsBenghazi wako. Air strikes za NATO zilikuja siku za mwisho mwisho baafs6ya waLibya kuchinjana wenyewewe vya kutosha.

Swali, jee wewe kama ni Mtanzania mwana CHADEMA uko tayari kuanzisha civil war ili NATO wapate pretext ya kuja kukusaidia kwa air strikes?
 
I think for the past five years this has been the talk. The worse is over. Investment will need the government to show and appreciate the contribution of the investors. Siasa hazina msaada kwenye hilo. China kusingekuwa na investment
Kwa vyovyote vile huwezi kulinganisha China na Tanzania.

Pamoja na hayo Trade restrictions za US kwa China zilikuwa na athari kubwa sana kwa China mpaka Xi akampigia magoti Trump.

Tanzania hatujiwezi kwa lolote tukiwekewa hata vikwazo vidogo tu kwenye budgetary aids.

Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuongozwa na watu wasiojitambua.
 
Angalia wanalochukia

View attachment 1626020

Wanachukia Tanzania kuanza kujijenga upya kitaifa, wanataka tuendelee kuwa shamba la bibi. Halafu kuna watanzania wanashangilia; watu wa hovyo sana hawa.
Unaweza kujenga hivyo vyote bila kuua raia wenye mitazamo tofauti na wewe.

Ni unyama kuamini kuwa ni wewe pekee unayestahili kufikiri na kutenda kwajili ya wengine
 
Na kweli China imekuwa kimbilio la wengi ambao wanasema hawataki kuingiliwa mambo ya ndani hadi pale wanapokuta wachina hawacheki na kima kwenye maslahi yao. Sijui na sisi tutawabinafsishia bandari au kiwanja cha ndege wakitushika pabaya tukiwekwa kando na dunia nzima maana hamna raha ya kudeal na mtu dhaifu kama yule asiye na option
Watu wanadhani China ni nice uncle
 
Du! Sasa hizo hela za chakula za nini? Kwani sisi hatuna mashamba ya chakula Basi sisi wavivu kweli hasa hao wanaosubiri chakula Cha misaada.
 
Kumbe hata hujui kuwa NATO waliingilis vita vya wenyewe kwa wenyewe kuwalinda hao wsBenghazi wako. Air strikes za NATO zilikuja siku za mwisho mwisho baafs6ya waLibya kuchinjana wenyewewe vya kutosha.

Swali, jee wewe kama ni Mtanzania mwana CHADEMA uko tayari kuanzisha civil war ili NATO wapate pretext ya kuja kukusaidia kwa air strikes?
Civil war Tanzania?! It is Impossibke...
 
Mikwara ya mabeberu tu hiyo hakuna lolote Dr. Magufuli songa mbele baba hawa mbwa wanao bwaka bwaka hawawezi kutuzuia kwa lolote kama alivyosema gwajima hatuhitaji mapesa yao sisi bana labda wazuie hakuna kuuza nje au kununua kitu nje hapo nitaogopa sana.
Hao unaosema wasonge mbele ARV wanazotumia zinatoka hukohuko kwa wafadhili , Sasa wasipozileta watasonga vp mbele ili Hali vimelea vimewachachamalia Mpaka kwenye kucha .
 
Hivi mpaka leo tunalilia hela za chakula kweli? Wakati watu tumejenga wenyewe na chakula tunatafuta wenyewe hebu tuache huo upuuzi alafu mpaka aibu vitu vinavyoonyeshwa tunasaidiwa, Mimi ningeona Cha maana Kama tungepewa technology za kutengeneza vitu vyetu wenyewe Sasa tunalilia hela ya chakula kweli? Chakula Cha Nani huyo mvivu asiyefanya kazi yakutafuta chakula chake?
 
Kumbe hata hujui kuwa NATO waliingilis vita vya wenyewe kwa wenyewe kuwalinda hao wsBenghazi wako. Air strikes za NATO zilikuja siku za mwisho mwisho baafs6ya waLibya kuchinjana wenyewewe vya kutosha.

Swali, jee wewe kama ni Mtanzania mwana CHADEMA uko tayari kuanzisha civil war ili NATO wapate pretext ya kuja kukusaidia kwa air strikes?
Labda mimi sipo tayari lakini kuna watanzania wengi wapo tayari haswa wazanzibari wakipewa silaha wanaweza kuingia porini
Ukiona watu wanafurahia nchi yao kuwekewa vikwazo ujue wapo tayari kwa lolote ispokua maandamano mikono mitupu mbele wapo askari wenye silaha za kivita
There are a lot of Tanzanian now who they got nothing to loose
 
Kuna watu mnajua kutoa points 🙏🙏
 
Kuna dada mmoja wa kizungu alikuwa anafanya kazi hapa kwenye shirika la kimataifa..aliendaga Zimbabwe wakati wa Mugabe akaja akasema hakuna maisha watu wanataabika sana...Magu tumemchekea anatupeleka Zimbabwe
 
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
US wana mahitaji yao na siamini kwamba yanatuhusu sisi waTZ. Baadhi tunaamini US inaweza kumsaidia Lissu au CHADEMA kushika serikali, that is rubbish! Afrika ya leo siyo hivyo tena.
 
Hiyo misaada kwakweli mpaka aibu hela ya chakula? Na ya mavazi na malazi ipo? Huyo aliyekuwa anaomba misaada ya hivyo kweli nikituko yaani unaacha kuomba ujuzi unaenda kuomba misaada ya hivyo?
 
Hivi mpaka leo tunalilia hela za chakula kweli? Wakati watu tumejenga wenyewe na chakula tunatafuta wenyewe hebu tuache huo upuuzi alafu mpaka aibu vitu vinavyoonyeshwa tunasaidiwa, Mimi ningeona Cha maana Kama tungepewa technology za kutengeneza vitu vyetu wenyewe Sasa tunalilia hela ya chakula kweli? Chakula Cha Nani huyo mvivu asiyefanya kazi yakutafuta chakula chake?
Ndio maana haya mambo mnaombwa msiingie kichwa kichwa kuyajadili yako juu ya uwezo wenu kuelewa.

Ukiambiwa chakula kwako ni mahindi yale yalimwayo Ruvuma? au mchele wa Kyela?
Tunasahau kuwa sasa hivi mbegu, viatilufu, pembejeo nk ambavyo ndio vinatuwezesha kupata hicho chakula tulimacho maandalizi yake ni fedha na utaalamu ambao bado tuna support kubwa toka nje?
Picha hii sio nzuri, inatisha
 
Kweli inatisha lakini Jiwe hajui kama kuna kitu kinaendelea
Matamko ya wahisani yanakuja kwa lugha za kigeni na wapambe wanaogopa kumtafsiria
Jiwe akisikia diplomasia hata hajui ni kitu gani unaongelea
Tanzanian kazi tunayo
 
Back
Top Bottom