"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Hao wachina unaojifananisha nao unawapata hata nucta kwa maendeleo?
 
Kumbe hata hujui kuwa NATO waliingilis vita vya wenyewe kwa wenyewe kuwalinda hao wsBenghazi wako. Air strikes za NATO zilikuja siku za mwisho mwisho baafs6ya waLibya kuchinjana wenyewewe vya kutosha.

Swali, jee wewe kama ni Mtanzania mwana CHADEMA uko tayari kuanzisha civil war ili NATO wapate pretext ya kuja kukusaidia kwa air strikes?
 
I think for the past five years this has been the talk. The worse is over. Investment will need the government to show and appreciate the contribution of the investors. Siasa hazina msaada kwenye hilo. China kusingekuwa na investment
Kwa vyovyote vile huwezi kulinganisha China na Tanzania.

Pamoja na hayo Trade restrictions za US kwa China zilikuwa na athari kubwa sana kwa China mpaka Xi akampigia magoti Trump.

Tanzania hatujiwezi kwa lolote tukiwekewa hata vikwazo vidogo tu kwenye budgetary aids.

Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuongozwa na watu wasiojitambua.
 
Angalia wanalochukia

View attachment 1626020

Wanachukia Tanzania kuanza kujijenga upya kitaifa, wanataka tuendelee kuwa shamba la bibi. Halafu kuna watanzania wanashangilia; watu wa hovyo sana hawa.
Unaweza kujenga hivyo vyote bila kuua raia wenye mitazamo tofauti na wewe.

Ni unyama kuamini kuwa ni wewe pekee unayestahili kufikiri na kutenda kwajili ya wengine
 
Watu wanadhani China ni nice uncle
 
Du! Sasa hizo hela za chakula za nini? Kwani sisi hatuna mashamba ya chakula Basi sisi wavivu kweli hasa hao wanaosubiri chakula Cha misaada.
 
Civil war Tanzania?! It is Impossibke...
 
Hao unaosema wasonge mbele ARV wanazotumia zinatoka hukohuko kwa wafadhili , Sasa wasipozileta watasonga vp mbele ili Hali vimelea vimewachachamalia Mpaka kwenye kucha .
 
Hivi mpaka leo tunalilia hela za chakula kweli? Wakati watu tumejenga wenyewe na chakula tunatafuta wenyewe hebu tuache huo upuuzi alafu mpaka aibu vitu vinavyoonyeshwa tunasaidiwa, Mimi ningeona Cha maana Kama tungepewa technology za kutengeneza vitu vyetu wenyewe Sasa tunalilia hela ya chakula kweli? Chakula Cha Nani huyo mvivu asiyefanya kazi yakutafuta chakula chake?
 
Labda mimi sipo tayari lakini kuna watanzania wengi wapo tayari haswa wazanzibari wakipewa silaha wanaweza kuingia porini
Ukiona watu wanafurahia nchi yao kuwekewa vikwazo ujue wapo tayari kwa lolote ispokua maandamano mikono mitupu mbele wapo askari wenye silaha za kivita
There are a lot of Tanzanian now who they got nothing to loose
 
Kuna watu mnajua kutoa points 🙏🙏
 
Kuna dada mmoja wa kizungu alikuwa anafanya kazi hapa kwenye shirika la kimataifa..aliendaga Zimbabwe wakati wa Mugabe akaja akasema hakuna maisha watu wanataabika sana...Magu tumemchekea anatupeleka Zimbabwe
 

US wana mahitaji yao na siamini kwamba yanatuhusu sisi waTZ. Baadhi tunaamini US inaweza kumsaidia Lissu au CHADEMA kushika serikali, that is rubbish! Afrika ya leo siyo hivyo tena.
 
Hiyo misaada kwakweli mpaka aibu hela ya chakula? Na ya mavazi na malazi ipo? Huyo aliyekuwa anaomba misaada ya hivyo kweli nikituko yaani unaacha kuomba ujuzi unaenda kuomba misaada ya hivyo?
 
Ndio maana haya mambo mnaombwa msiingie kichwa kichwa kuyajadili yako juu ya uwezo wenu kuelewa.

Ukiambiwa chakula kwako ni mahindi yale yalimwayo Ruvuma? au mchele wa Kyela?
Tunasahau kuwa sasa hivi mbegu, viatilufu, pembejeo nk ambavyo ndio vinatuwezesha kupata hicho chakula tulimacho maandalizi yake ni fedha na utaalamu ambao bado tuna support kubwa toka nje?
Picha hii sio nzuri, inatisha
 
Kweli inatisha lakini Jiwe hajui kama kuna kitu kinaendelea
Matamko ya wahisani yanakuja kwa lugha za kigeni na wapambe wanaogopa kumtafsiria
Jiwe akisikia diplomasia hata hajui ni kitu gani unaongelea
Tanzanian kazi tunayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…