kambiyamkaa
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 122
- 110
Kifo cha wengi harusi...
WEWE upo nchi gani hujui kuna watanzania wanaonewa na kuteswa kwa sababu za kisiasa?
Ina maana hujui mara baada ya uchaguzi kuna watu wengi wameuawa. Wamejeruhiwa. Wamafilisiwa na wengi wamebambikiziwa mikesi ya ajabu?
Kama Amani na upendo kwa WOTE kama zahma tupate sote
Haiwezekani katika nchi yetu tuwe na matabaka ya wanyonge na wababe
Hivi wewe ungejisikiaje kuteswa jela kwa kesi isioenda mahakamani eti unehujumu uchumi wakati hata biashara hujawahi kufanya?
Mimi naona kama noma na iwe noma tutafutane humuhumu sio kuoneana
Hii ni nchi yetu sote eti kwa sababu mtu yupo chama cha upinzani Ndio anyanyaswe kwenye nchi yake?. Shilingi anglia pande mbili
Usifikiri nchi zenye vita watu WOTE ni wajinga... Bali ni manyanyaso na maonevu mpaka mtu anageuka kua mnyama
Mkuu watu wanathamini Uhuru kuliko mahitajiGadafi alichoitendea Libya hakuna hata raisi mmoja wa marekani ameifanyia nchi yake
Nasikia na Libya nako palikuwa kama hivyo yani maisha bomba ila tatizo hakukuwa na demokrasia ndio maana yakatokea yaliyotokea,ila nadhani Saudia Arabia kutakuwa demokrasia.Saudi Arabia ni nchi ya kifalme watu wanapewa nyumba na mahitaji yote Bure
Hakuna kulipa maji wala umeme
HAKUNA TRA serikali Ndio inakulipia 25% ukinunua bidhaa
Tatizo hawezi kupata Uraia na kibali cha kuishi ni ghali sana
Watu wa kule hawajui siasa wala demokrasia
Kwa sababu maisha yao Bomba
Unalaumu matokeo bila kujiuliza sababu.
Unalaumu matokeo bila kujiuliza sababu.
Sasa naamini umbumbumbu pia ni kipaji! Hivi ninyi hakuna siku munaonesha ufahamu? Hakuna hatua yoyote itakayoifanya CHADEMA kushinda uchaguzi wa 2020, umekwishafanyika! Hakuna mbinu ya kumfanya Lissu awe rais, kisha sepa zake! Kuna watu kila wakati ni munaandika mambo ya kujiliwaza tu!According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Nimefurahi sana kusoma maoni yako.( albaqarah : 8-20 ) Nifaq Mungu ndie mjuzi wa yaliyo mioyoni mwa watu. Usitumie dini kutukana watu, wewe jenga hoja tu bila kuihusisha dini yetu. Usichanganye siasa zako na dini yetu. Uislamu ni dini iliyokamilka na ni dini ya washindi, sio dini ya wanafiki wanaoitumia kwa ajili ya kushinda hoja. Kaa mbali na uislamu kama una jazba za kisiasa.
Gharama za kusafirisha bidhaa zitaongezekaUnamaanisha nini? Watu wataambiwa wasifuge kuku na ng'ombe?
Hiyo demokrasia haipo hapa duniani, bali tumeaminishwa tu na wakoloni kuwa ipo.Nasikia na Libya nako palikuwa kama hivyo yani maisha bomba ila tatizo hakukuwa na demokrasia ndio maana yakatokea yaliyotokea,ila nadhani Saudia Arabia kutakuwa demokrasia.
Huyu ni katili kuliko Gaddafi, Sadam Hussein, na Albashir, kwani hao tajwa hawajawahi wafunga Watanzania wenzetu kwenye viroba na kuwatupa mtoni.Tafadhali usijaribu kijificha kwenye kimvuli Chako
Hakuna kitu cha ajabu ki maendeleo Tanzania eti mabeberu wanatuonea Gere
Kilichopo ni ubinyu wa Demokrasia pamoja na uvunjwaji wa haki za binadamu
Ulishawahi kunukuliwa ukimuuliza mtu Kapata wapi mamlaka ya kuzuia shughuli za kusiasa za vyama vya upinzani akajibu Jina lako wewe ni njaa
Unahitaji kwenda hospital kama huamini tangu ******** aingie madarakani Wapinzani wengi wameuawa. Wameumizwa. Wametekwa na wengi wapo jela mpaka sasa
Huku pemba miaka kumi ya jakaya hata paka hatujazika lakini kaingia kafiri katuletea mpaka majeshi ya Burundi
Anyways dhulma haidumu
Gaddafi. Sadam au albashir walikua wababe na makatili kuliko huyu kafiri mwisho wao ona
Haiwezekani ukaua na kudhulumu ummah WOTE huu halafu usipate matata
Magafool is the next victim is just matter of time
Hiyo demokrasia haipo hapa duniani, bali tumeaminishwa tu na wakoloni kuwa ipo.
Mfano, kwenye uhalisia wa maisha ya kisiasa, demokrasia itatokea wapi kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali chama hiki kinapinga sera ya chama kingine??? Au chama tawala ndio chenye nguvu ya kufanya maamuzi ya mwisho ilihali vyama vya upinzani hawana nguvu ya kupinga maamuzi ya chama tawala?? Demokrasia inatoka wapi hapo!!?
Madikteta wote huwa na allergies na matajiri,Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.
Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
Asante kwa kunielewesha maana ya demokrasia. Bado nina swali mwaaalimu japo swali langu halihusiani na bunge la sasa hivi Tanzania .Demokrasia means hatma na maamuzi ya nchi uamuliwa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake
Kwenye hizo post ulizotaja kuna moja inakuhusu mzee BujibujiDona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Of course tunaweza kuyamaliza endapo tungekua na kiongozi muungwana na muadilifu sio huyu anaefikiri nchi ni Mali yakeUliyo yasema yote yanaweza kumalizwa na sisi wenyewe bila kungoja Beberu atupampu.
No Libya ilikua nzuri lakini sio kama Saudi ArabiaNasikia na Libya nako palikuwa kama hivyo yani maisha bomba ila tatizo hakukuwa na demokrasia ndio maana yakatokea yaliyotokea,ila nadhani Saudia Arabia kutakuwa demokrasia.
Sijui hata uliishia darasa la ngapi!Wachache sana watakuelewa...Wengi matango pori waliyolishwa darasani yana toa sumu ya ubongo kukubali realities...
Kuna watu wanadhani wazungu ni miungu watu...Hizo enzi zimepita...Kuna nchi za ulaya kwa sasa zinakaribia kudumbukia shimoni including Germany ambayo angalau ilikuwa na matumaini...Britain imekimbilia makoloni yake kwa jina la commonwealth kuji rescue...Lakini bado watu hawaamini dunia inatupa competitive advantage sisi Africa ambao tuliitwa hatujaendelea kumbe maendeleo ndiyo hiki tulichobaki nacho...Natural environment
hivi bwana Bujibuji ni kwanini akili zenu zinawaza sana misaada?Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.
View attachment 1626014
Uwezo gani mkubwa Prof Kabuni anao? Hana hata chembe ya diplomatic idea au unadhani hapo ataingiza sheria?Dah! Mi hata sijaelewa unamaanisha nini! Labda unisaidie, yaani mpaka leo Wamarekani "wanashawishiwa" kuamini kuwa Tanzania hakuna Demokrasia? Basi hili ni jambo jema. Professor Kabudi kwa uwezo wake mkubwa alionao atawashinda hao wanaojaribu kushawishi negatively.