"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

Uliyo yasema yote yanaweza kumalizwa na sisi wenyewe bila kungoja Beberu atupampu.
Kifo cha wengi harusi...
WEWE upo nchi gani hujui kuna watanzania wanaonewa na kuteswa kwa sababu za kisiasa?
Ina maana hujui mara baada ya uchaguzi kuna watu wengi wameuawa. Wamejeruhiwa. Wamafilisiwa na wengi wamebambikiziwa mikesi ya ajabu?
Kama Amani na upendo kwa WOTE kama zahma tupate sote
Haiwezekani katika nchi yetu tuwe na matabaka ya wanyonge na wababe
Hivi wewe ungejisikiaje kuteswa jela kwa kesi isioenda mahakamani eti unehujumu uchumi wakati hata biashara hujawahi kufanya?
Mimi naona kama noma na iwe noma tutafutane humuhumu sio kuoneana
Hii ni nchi yetu sote eti kwa sababu mtu yupo chama cha upinzani Ndio anyanyaswe kwenye nchi yake?. Shilingi anglia pande mbili
Usifikiri nchi zenye vita watu WOTE ni wajinga... Bali ni manyanyaso na maonevu mpaka mtu anageuka kua mnyama
 
Gadafi alichoitendea Libya hakuna hata raisi mmoja wa marekani ameifanyia nchi yake
Mkuu watu wanathamini Uhuru kuliko mahitaji
Kuna watu mpaka Leo hawajuti pamoja na kitimtim chote
Kwani hujui hata farao aliwatendea wema baadhi ya watu?
Hata makaburi kule sauzi walifanya mengi
Hata jiwe kafanye mengi
WOTE Tatizo Lao ni kutesa baadhi ya jamii
 
Saudi Arabia ni nchi ya kifalme watu wanapewa nyumba na mahitaji yote Bure
Hakuna kulipa maji wala umeme
HAKUNA TRA serikali Ndio inakulipia 25% ukinunua bidhaa
Tatizo hawezi kupata Uraia na kibali cha kuishi ni ghali sana
Watu wa kule hawajui siasa wala demokrasia
Kwa sababu maisha yao Bomba
Nasikia na Libya nako palikuwa kama hivyo yani maisha bomba ila tatizo hakukuwa na demokrasia ndio maana yakatokea yaliyotokea,ila nadhani Saudia Arabia kutakuwa demokrasia.
 
Unalaumu matokeo bila kujiuliza sababu.

Unalaumu matokeo bila kujiuliza sababu.
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.

Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.

Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.

Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary

There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends. Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signaling U.S. concerns in selected instances, but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions. The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade

Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
Sasa naamini umbumbumbu pia ni kipaji! Hivi ninyi hakuna siku munaonesha ufahamu? Hakuna hatua yoyote itakayoifanya CHADEMA kushinda uchaguzi wa 2020, umekwishafanyika! Hakuna mbinu ya kumfanya Lissu awe rais, kisha sepa zake! Kuna watu kila wakati ni munaandika mambo ya kujiliwaza tu!
 
( albaqarah : 8-20 ) Nifaq Mungu ndie mjuzi wa yaliyo mioyoni mwa watu. Usitumie dini kutukana watu, wewe jenga hoja tu bila kuihusisha dini yetu. Usichanganye siasa zako na dini yetu. Uislamu ni dini iliyokamilka na ni dini ya washindi, sio dini ya wanafiki wanaoitumia kwa ajili ya kushinda hoja. Kaa mbali na uislamu kama una jazba za kisiasa.
Nimefurahi sana kusoma maoni yako.
 
Nasikia na Libya nako palikuwa kama hivyo yani maisha bomba ila tatizo hakukuwa na demokrasia ndio maana yakatokea yaliyotokea,ila nadhani Saudia Arabia kutakuwa demokrasia.
Hiyo demokrasia haipo hapa duniani, bali tumeaminishwa tu na wakoloni kuwa ipo.
Mfano, kwenye uhalisia wa maisha ya kisiasa, demokrasia itatokea wapi kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali chama hiki kinapinga sera ya chama kingine??? Au chama tawala ndio chenye nguvu ya kufanya maamuzi ya mwisho ilihali vyama vya upinzani hawana nguvu ya kupinga maamuzi ya chama tawala?? Demokrasia inatoka wapi hapo!!?
 
Tafadhali usijaribu kijificha kwenye kimvuli Chako
Hakuna kitu cha ajabu ki maendeleo Tanzania eti mabeberu wanatuonea Gere
Kilichopo ni ubinyu wa Demokrasia pamoja na uvunjwaji wa haki za binadamu
Ulishawahi kunukuliwa ukimuuliza mtu Kapata wapi mamlaka ya kuzuia shughuli za kusiasa za vyama vya upinzani akajibu Jina lako wewe ni njaa
Unahitaji kwenda hospital kama huamini tangu ******** aingie madarakani Wapinzani wengi wameuawa. Wameumizwa. Wametekwa na wengi wapo jela mpaka sasa
Huku pemba miaka kumi ya jakaya hata paka hatujazika lakini kaingia kafiri katuletea mpaka majeshi ya Burundi
Anyways dhulma haidumu
Gaddafi. Sadam au albashir walikua wababe na makatili kuliko huyu kafiri mwisho wao ona
Haiwezekani ukaua na kudhulumu ummah WOTE huu halafu usipate matata
Magafool is the next victim is just matter of time
Huyu ni katili kuliko Gaddafi, Sadam Hussein, na Albashir, kwani hao tajwa hawajawahi wafunga Watanzania wenzetu kwenye viroba na kuwatupa mtoni.
 
Lipo wazi hilo. Mabeberu huwa awafungamani ni nchi ya chama kimoja.
Tza ni nchi ya chama kimoja chenye bunge la chama kimoja
 
Hiyo demokrasia haipo hapa duniani, bali tumeaminishwa tu na wakoloni kuwa ipo.
Mfano, kwenye uhalisia wa maisha ya kisiasa, demokrasia itatokea wapi kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali chama hiki kinapinga sera ya chama kingine??? Au chama tawala ndio chenye nguvu ya kufanya maamuzi ya mwisho ilihali vyama vya upinzani hawana nguvu ya kupinga maamuzi ya chama tawala?? Demokrasia inatoka wapi hapo!!?

Jifunze kuhusu demokrasia utaelewa.usichanganye demokrasia na ukomunistu au ujamaa.Mfano tza ya Sasa ni nchi ya kikomunisti nchi ya chama kimoja na sio nchi ya kidemokrasia, yaani maamuzi ya hatma ya watz inaamuliwa na mtu mmoja. Demokrasia means hatma na maamuzi ya nchi uamuliwa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake
 
Usiifananishe Tanzania ya sasa na China, bado hatujawafikia wale watu.

Hao investors ndio wanakuwa frustrated everyday, wanasema tu midomoni wanavutia wawekezaji lakini matendo yao yana suggest tofauti, mfano Dangote.
Madikteta wote huwa na allergies na matajiri,
 
Demokrasia means hatma na maamuzi ya nchi uamuliwa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake
Asante kwa kunielewesha maana ya demokrasia. Bado nina swali mwaaalimu japo swali langu halihusiani na bunge la sasa hivi Tanzania .

Swali ni hili, kama maamuzi ya nchi za kidemokrasia yanafanywa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake, sasa inakuaje kule bungeni kuna vyama vya upinzani na chama tawala, ilihali vyama vya upinzani ni wananchi na chama tawala ni wananchi??

Mbona chama tawala ndio kinafanya maamuzi ya mwisho huko bungeni hata kama wabunge wa vyama vya upinzani wamepinga hoja?? Sasa demokrasia iko wapi hapo??
 
Sijawahi kuona mtu anapelekewa chakula Cha kula Kila siku na Kama ni mbolea nipo nalima nanunua mwenyewe huko vijini nao wanalalamika hazifiki hata mbegu hivyo hivyo Sasa kwanini mtu akaombe hela ya chakula nje tena Kila mwaka huyo anayeomba ndo mvivu maana hata watoto wa mitaani wanajitafutia chakula Sasa Kama Kuna hizo hela siwapikiwe chakula hao watoto wa mitaani Mimi kweli naona ujinga tu kwenda kuomba hela za hivyo.
 
Uliyo yasema yote yanaweza kumalizwa na sisi wenyewe bila kungoja Beberu atupampu.
Of course tunaweza kuyamaliza endapo tungekua na kiongozi muungwana na muadilifu sio huyu anaefikiri nchi ni Mali yake
Kumbuka haya mambo hayajawahi kutokea katika historia ya nchi yetu
Huyu mtu kiburi sana na kiburi chake kitatupekeka pabaya sana
 
Nasikia na Libya nako palikuwa kama hivyo yani maisha bomba ila tatizo hakukuwa na demokrasia ndio maana yakatokea yaliyotokea,ila nadhani Saudia Arabia kutakuwa demokrasia.
No Libya ilikua nzuri lakini sio kama Saudi Arabia
Tatizo la Libya ilikua uonevu wa watu wa Banghazi kama vile CCM inavyotufanyia Wazanzibari dhulma wazi wazi na mauaji ya kikatili
 
Wachache sana watakuelewa...Wengi matango pori waliyolishwa darasani yana toa sumu ya ubongo kukubali realities...

Kuna watu wanadhani wazungu ni miungu watu...Hizo enzi zimepita...Kuna nchi za ulaya kwa sasa zinakaribia kudumbukia shimoni including Germany ambayo angalau ilikuwa na matumaini...Britain imekimbilia makoloni yake kwa jina la commonwealth kuji rescue...Lakini bado watu hawaamini dunia inatupa competitive advantage sisi Africa ambao tuliitwa hatujaendelea kumbe maendeleo ndiyo hiki tulichobaki nacho...Natural environment
Sijui hata uliishia darasa la ngapi!
Post zako kwenye huu uzi ni maujinga ujinga tu.
 
Dona kantre huna hata kiwanda Cha kutengeneza pini.
Kifuatacho ni kupunguza kazi madaktari, manesi na watu wa maabara na kuajiri waganga was kienyeji, wachawi, wabashiri na wapiga ramli.

View attachment 1626014
hivi bwana Bujibuji ni kwanini akili zenu zinawaza sana misaada?
Serikali ukisha iwekea ukusanyaji mzuri wa mapato kila kitu kinakwenda vizuri bila wasiwasi. Embu tubasirikane tuache kuwaza misaada.
 
Dah! Mi hata sijaelewa unamaanisha nini! Labda unisaidie, yaani mpaka leo Wamarekani "wanashawishiwa" kuamini kuwa Tanzania hakuna Demokrasia? Basi hili ni jambo jema. Professor Kabudi kwa uwezo wake mkubwa alionao atawashinda hao wanaojaribu kushawishi negatively.
Uwezo gani mkubwa Prof Kabuni anao? Hana hata chembe ya diplomatic idea au unadhani hapo ataingiza sheria?
 
Back
Top Bottom