"Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

hivi bwana Bujibuji ni kwanini akili zenu zinawaza sana misaada?
Serikali ukisha iwekea ukusanyaji mzuri wa mapato kila kitu kinakwenda vizuri bila wasiwasi. Embu tubasirikane tuache kuwaza misaada.
Kodi inatosha nini?
Makampuni mengi yameondoka...
Biashara zinafungwa
Bado kidogo tutatafutana humuhumu
 
Hahahahaaaa eti "kafanye mwenyewe"
 
Tanzania tunaihitaji dunia ila tunaihitaji dunia kwa misingi inayoheshimu uhuru wa nchi yetu, mila, desturi na utamaduni wetu. Kinyume na hapo tupo tayari kufunga mkanda kulinda heshima na uhuru wetu kama Taifa huru.
 
Mleta thread unachokieleza wewe na uhalisia ni tofauti kabisa. Wewe hujui deep cooeraton iliyopo baina ya Tanzania na US. Kwa taarifa yako US inaitegeea sana Tanzania kuliko unavyofikiri.
 
Mleta thread unachokieleza wewe na uhalisia ni tofauti kabisa. Wewe hujui deep cooeraton iliyopo baina ya Tanzania na US. Kwa taarifa yako US inaitegeea sana Tanzania kuliko unavyofikiri.
Unamaanisha hayo matamko ya US dhidi yetu ni geresha tu?
 
Huku mitandaoni mko vizuri sana na Lissu wenu...
Nyie adhabu yenu ni kuwasubiria kwenye Sanduku la kura...
Wananchi ndio tumeamua kuchagua Chama kimoja CCM...kwanini mturazimishe kuchanganya maji na mafuta?
 
Unamaanisha hayo matamko ya US dhidi yetu ni geresha tu?
Kwa mfumo wa US itabidi uwe makini sana kwa sauti unazosikia. Kuna sauti nyingi mno na wengine mission yao ni kutoa tu sauti tofauti lakini wako United in actions. Inahitaji akili za exta miles kujua mahusiano na US yanavyofanya kazi.
 
Ukitaka kujua ushawishi wa Marekani kwa hawa do
 
Jiandae mkuu,haikwepeki hii.huoni hata Wala mabalozi wa donor countries hawakuja kuzindua binge??
 
No Libya ilikua nzuri lakini sio kama Saudi Arabia
Tatizo la Libya ilikua uonevu wa watu wa Banghazi kama vile CCM inavyotufanyia Wazanzibari dhulma wazi wazi na mauaji ya kikatili
Kwahiyo mkuu bora Saudia Arabia kuna demokrasia kuliko bongo?
 
Ubeberu = Imperialism yaani capitalism iliyokomaa kwa hiyo ubeberu sio tusi ila ni mfumo.
Kingine Hizo nchi zikiamua kuchukua rasilimali zitafanya tu kwa njia yoyote ile maana utajiri wa Tanzania sidhani kama unaikaribia DRC na bado katikati ya vita wanavuna rasilimali watakavyo

Naomba usimuhusishe Nyerere katika zama hizi maana ni matusi kwa akili na heshima aliyoijengea Tanzania katika Era yake. Hiyo nguvu na influence Hatuna

Kingine siongelei kutawaliwa maana unavaa, unasoma, unasafiri na si ajabu mara nyingine unaongea lugha ambayo si asili yako. Lakini dunia ishatoka huko, kwa sasa kuna siasa ila kila mtu anaangalia faida kwa kizazi chake kibiashara.
Naweza kuandika gazeti ila kama hutoelewa hiki kidogo sidhani kama itasaidia
 
Mtawezaje kupambana kama alivyopambana mchina wakati wewe na viongozi wako vichwani mmejaza mavi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…