Tanzania hiyo changa ndo iliyokuwa na ushawishi mkubwa hapa Africa na duniani kama unaijua Historia ya nchi Hii vizuriTanzania iliweza kuishawishi jumuiya ya kimataifa kuipa China "kura ya VETO" kwenye vikao vya UN wakati miaka hiyo Tanzania ikiwa bado nchi changa kabisa! Sembuse muda huu!?
dah!!! inasikitisha sana..karne ya 21 hii waafrika bado hatuna uwezo wa kujitetea wenyewe mpaka tutetewe tena na wale wale waliotutawala. ni kama hakukuwa na haja ya kumwondoa mkoloni mweupe maana kikundi kidogo cha weusi wenzetu wamegeuka kuwa wakoloni weusi wanatufanyia ubaya ule ule tuliyofanyiwa na mkoloni mweupe. ni heri haya ufanyiwe na mkoloni mweupe kuliko ndugu zetu weusi. The United nations please rescue Tanzania democracy before its too late...dont wait until innocent life is compromised before you act. we are being oppressed."Mabeberu" wanatetea umma wa raia wanyonge wasio na sauti dhidi ya serikali "yao"
Nchi hii itageuka kuwa Zimbabwe very soon. Stay tuned!According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends.
Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signalling U.S. concerns in selected instances but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions.
The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
kwa hiyo unaitunishia msuli jumuiya ya kimataifa?!!! "Tansania" hii hii au nyingine?!!! ahahaaaa..aya ngoja tuone.Mikwara ya mabeberu tu hiyo hakuna lolote Dr. Magufuli songa mbele baba hawa mbwa wanao bwaka bwaka hawawezi kutuzuia kwa lolote kama alivyosema gwajima hatuhitaji mapesa yao sisi bana labda wazuie hakuna kuuza nje au kununua kitu nje hapo nitaogopa sana.
Labda bajeti yao imebana kutokana na covid, ila ni aibu kwa nchi kubwa kukiri. Huenda hapa ni kama wamepata kaupenyo ka kutua mzigo mmojawapo.Nukuu zote hapa ni nukuu za upinzani, sijaona chochote ambacho serikali ya CCM imeulizwa ikataa kujibu. Unapata picha mwadishi ni nani na anakusudia gani.
Hata hivyo hakuna sheria inayolazimisha nchi moja isaidie nchi nyingine, kila nchi duniani inatoa misaada vile inavyona bajeti yake zimekaaje.
mkuu kwan mpaka sasa bajeti yetu inajitegemea kwa asilimia ngapi?hivi bwana Bujibuji ni kwanini akili zenu zinawaza sana misaada?
Serikali ukisha iwekea ukusanyaji mzuri wa mapato kila kitu kinakwenda vizuri bila wasiwasi. Embu tubasirikane tuache kuwaza misaada.
Mkuu unauelewa walau kidogo wa siasa za vyama vingi ?Asante kwa kunielewesha maana ya demokrasia. Bado nina swali mwaaalimu japo swali langu halihusiani na bunge la sasa hivi Tanzania .
Swali ni hili, kama maamuzi ya nchi za kidemokrasia yanafanywa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake, sasa inakuaje kule bungeni kuna vyama vya upinzani na chama tawala, ilihali vyama vya upinzani ni wananchi na chama tawala ni wananchi??
Mbona chama tawala ndio kinafanya maamuzi ya mwisho huko bungeni hata kama wabunge wa vyama vya upinzani wamepinga hoja?? Sasa demokrasia iko wapi hapo??
nimewahi kufanya kaz na kuishi na wamerekani. hawa jamaa huwa hawapayuki. akikutamkia neno moja tu lipime sana. huwa wanamaanisha wanachokisema na plan zao siyo za miaka mitano mitano za kuiba kura..wanafikiria miaka mia moja, miaka mbili nk ijayo.Kwa mfumo wa US itabidi uwe makini sana kwa sauti unazosikia. Kuna sauti nyingi mno na wengine mission yao ni kutoa tu sauti tofauti lakini wako United in actions. Inahitaji akili za exta miles kujua mahusiano na US yanavyofanya kazi.
Dunia ya leo hata kama hukanyagi Marekani lakini kama umejiunga kwenye jumuiya za kimataifa bhasi VETO power yao huwezi kuiepuka.
Ushawishi wa Marekani ni mkubwa na sisi kama sisi sidhani kama tunaweza survive kama wakiamua kweli kutukazia
Viwanda vyetu vyenyewe ndio hivi ambavyo hata kutengeneza sindano ni shida, Export zetu zenyewe nadhani unazielewa na chanzo kikubwa cha foreign reserve unakijua. Kukaziwa sisi ni rahisi sanaaaa ila tuombe tu mambo yasiharibike
Ni kweli USA hana nguvu ila walipotaka kuondoa misaada yao kwenye shirika la afya duniani kipindi cha Corona, Dunia ilitetemeka japo kuna China na Urusi.. Unafikiria ni kwa nini ???...Tusidanganyane mambo ya marekani inapower ilikuwa wakati ule. Siku hizi Iran na North Korea wana wavimbia.
Kuna balance of power kati ya USA na China. Wazungu wakiongozwa na USA hawawezi kukubali kumuachia Mchina mwenyewe Tanzania. Itakuwa ni kumziria nguruwe shamba la mihogo. Lakini ushawishi wa Tanzania kwa Afrika hasa kusini mwa jangwa la sahara na kati wazungu hawatakubali waupoteze kwa China Kirahisi.
Sera za diplomasia yetu ya nje ni kucheza na sifa Tanzania ilizonazo ambazo huzipati kwa wengine. USA haina chake kwanza kuondoka tu kwa Trump tarajia mabadiliko makubwa ya sera za na mahusiano ya nje za USA
Dua la kuku halimpati mwewe!!Nchi hii itageuka kuwa Zimbabwe very soon. Stay tuned!
Huyo ndo wale watumwa wataajiliwa marekaniMkuu mambo mengine punguza hata ukali wa maneno kuficha aibu kwa ndugu zako watanzania
Mkuu, ingependeza zaidi kama ungenijibu swali nililouliza hapo juu kwanza. Ukimaliza kunijibu, na mm nitakujibu swali uliloniuliza hapo.Mkuu unauelewa walau kidogo wa siasa za vyama vingi ?
Nilichotaka kukujibu inategemea majibu yako kwenye swali nililokuuliza ?Mkuu, ingependeza zaidi kama ungenijibu swali nililouliza hapo juu kwanza. Ukimaliza kunijibu, na mm nitakujibu swali uliloniuliza hapo.
Hakuna vyama vya upinzani bungeni.Asante kwa kunielewesha maana ya demokrasia. Bado nina swali mwaaalimu japo swali langu halihusiani na bunge la sasa hivi Tanzania .
Swali ni hili, kama maamuzi ya nchi za kidemokrasia yanafanywa na wananchi na sio mtu mmoja na vibaraka zake, sasa inakuaje kule bungeni kuna vyama vya upinzani na chama tawala, ilihali vyama vya upinzani ni wananchi na chama tawala ni wananchi??
Mbona chama tawala ndio kinafanya maamuzi ya mwisho huko bungeni hata kama wabunge wa vyama vya upinzani wamepinga hoja?? Sasa demokrasia iko wapi hapo??
Hata vibaraka wa MUGABE walikuwa wakiongea kwa nyodo hivo hivo hadi pale mfumuko wa Bei ulipowashangazaMikwara ya mabeberu tu hiyo hakuna lolote Dr. Magufuli songa mbele baba hawa mbwa wanao bwaka bwaka hawawezi kutuzuia kwa lolote kama alivyosema gwajima hatuhitaji mapesa yao sisi bana labda wazuie hakuna kuuza nje au kununua kitu nje hapo nitaogopa sana.
Tena hizi ni rasharasha tu
Naomba kuuliza, hivi serikali ikabanwa na umoja wa mataifa watakaothirika zaidi ni viongozi walioko madarakani au sie wanainchi wa kawaida?, Ukipata jibu then hakuna haja ya kuchekelea njaa na shida zinakuja wakumba wanainchi wa kawaida ukiwemo mleta uziAccording to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa nchini Tanzania toka Magufuli kuingia madarakani imewashitua wafadhili wa demokrasia na uwazi na hasa katika maswala ya ushiriki wa jamii na asasi zisizo za kiserikali.
Na utungwaji wa sheria mbalimbali kandamizi na kuhakikisha nchi inakuwa ya chama kimoja na upinzani unatoweka.
Katika kutubinya wataacha misaada inayogusa chakula tu na wanashawishi na jumuiya za kimataifa nao kutufanyia kama wao.
In summary
There are few signs that the governance trajectory in Tanzania discussed in this report is likely to change. One analyst of Tanzania sees President Magufuli and the CCM as pursuing “restorationist developmental nationalism”—a return to the sociopolitical development agenda and dominance of the CCM during the one-party state era, in which opposition parties play a limited role, if any.69 There are arguably a paucity of strong levers through which the United States and other aid donors might be able to press for a reversal of recent trends.
Targeted restrictions on aid could potentially spur constructive responses from Tanzanian authorities in some instances, but the bulk of U.S. and other foreign aid supports development goals or other U.S. policy interests that such changes might hinder. Targeted sanctions, which the United States has used in one instance, 70 also are another possible pressure tool and vehicle for signalling U.S. concerns in selected instances but are complex to administer and may have limited effect if sanctioned officials do not have personal or financial interests within U.S. jurisdictions.
The governance trends discussed in this report also could potentially warrant a change in Tanzania’s eligibility for U.S. trade
Kwa ripoti kamili https://t.co/uTUEIj29Vg?amp=1
I dont see anything strange. We all struggle. Na kama kuna mtu alitegemea kuwa salama yetu ni pesa ya msaada alibugi man. Covid has brought into the world unsolved equation
Ndio vizuri hiyo ndio furaha yetu itayopoza machungu ya kuibiwa kura zetu kuutafuta uhuru kuna gharama zakeNaomba kuuliza, hivi serikali ikabanwa na umoja wa mataifa watakaothirika zaidi ni viongozi walioko madarakani au sie wanainchi wa kawaida?, Ukipata jibu then hakuna haja ya kuchekelea njaa na shida zinakuja wakumba wanainchi wa kawaida ukiwemo mleta uzi