Mabeberu nini maana yake halisi: - hili neno liliweza kupata tafsiri yake halisi katika kipindi cha miaka ya sitini late baada ya nchi nyingi za Africa kupata uhuru kutoka katika ukoloni wa nchi za ulaya.
Hapa tunaweza kupata picha halisi kipindi ilipoanza sera za imperialism yaani kwa tafsiri ukoloni mamboleo.
Sasa huku Africa tulitafsiri nchi zinazifanya ukoloni mamboleo ni mabeberu na hili lilitumika sana katika nchi zilizochagua kwenda katika sera za ujamaa tuu, kwa mfano katika nchi za East Africa neno hili lilitumika tuu katika nchi ya Tanganyika na wala sio kenya wala Uganda hata kama lilitumika huko lilimaanisha ni uwingi wa mbuzi dume tuu wala si vingenenyo.
Baada ya miaka ya 1980's hadi 2015 neno hili halikuwahi kutumika kabisa hapa Tanzania hii ni kutokana na kwamba sera za uchumi zilishabadilika na kuwa free market economy na neno hili lilimezwa na kubadilika kuwa wafadhili, wahisani na pia wawekezaji hii ilitokana na kwamba tulikuwa tunawahitaji kwa ajili ya biashara ili kukuza uchumi wetu.
Hii iliambatana na kuwa na mahusiano mazuri na ya karibu na nchi zilizoendelea, sasa baada ya kuja mwendazake ambaye hata hakuwa na political and economic Ideology ambapo alitaka kuirudisha nchi tena miaka ya 1960's ndio neno hili likaibuka tena na hii iliambatana na kufunga milango yote ya uchumi toka nje na serikali kujaribu kujiingiza katika usimamizi wa biashara.
Sasa kuanzia mwezi wa mwishoni mwa March 2021 na kuendelea neno hili halitatumika tena kwenye nyanja za siasa na uchumi hapa Tanzania labda hata likutumika litakuwa linatumika huko machinjioni wakati wa kuchinja au kule kanda ya kaskazini wakati wanafanya makafara yao kimila.
Nakaribisha mjadala kwa mwenye hoja kinzani! KARIBUNI!!!!