Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Nyie ndio majizi mtateseka sana ss huku nchi inaenda vzr sanaHatuwezi kuingizwa chaka kwa gharama ya mtu mmoja au kundi la watu wachache,wahusika wawajibe kwa matendo yao!
Siwezi kukubali kuingizwa mkenge wa kuwapinga hao mnaowaita mabeberu/wawekezaji/wahisani kisa tu namtetea muuaji Makonda!
No way!
Narudia,siko tayari kumtetea muuaji!Subiri atumbuliwe upongeze,ndio zenu misukule msio na msimamo!Nyie ndio majizi mtateseka sana ss huku nchi inaenda vzr sana
Ni lugha ya wana ccm, mtu akiwapa hela wanamwita mdau, akiwanyima beberu.Hvi beberu ni Nani ? Naskia nebo beberu kila Kona... who is beberu? Navyojua mm beberu ni mbuz dume , sass huyu beberu anayeongelewa humu ni nan
Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao
Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu
Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za kinafiki za Mabeberu eti wamemkataza Makonda kwenda kwao jamani huu ni wendawazimu
Marekani hawatupend huwa tunalazimisha kupendwa nyani ni nyani tu akipata ndizi ananyang'anywa hawa watu tuwapinge kwa nia zao ovu